Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano? KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja. Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza...
44 Reactions
234 Replies
10K Views
Tukio la huyu jamaa kufanya haya yote! Japo ni mkristo nilifika kuchukia wanaosema ni askari! Na leo mama kasema kama mnaona mtu kuwa na kosa kwanza fanyeni uchunguzi kabla kuleta yote! Mama...
12 Reactions
119 Replies
20K Views
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka...
47 Reactions
278 Replies
31K Views
Hello waungwana! Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji...
5 Reactions
30 Replies
925 Views
Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura...
16 Reactions
61 Replies
3K Views
Licha ya Tanzania kuwa Nchi ya 5 kwa kuwa na Idadi kubwa ya watu Afrika Ina ni Moja ya Nchi yenye watu wajinga wengi kutokana na kuwa na Vyuo Vikuu vichache sana. Tunazidiwa Hadi na Uganda na...
1 Reactions
8 Replies
513 Views
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Mimi ni mmojawapo😂 Na nadhani nilipigwa kama mara tatu hivi kabla sijajifunza na kuelimika Miaka ile ya 2010 nikaagiza kupitia Ebay radio touch screen.. Wakati huo bongo ilikuwa ni kuanzia lako...
10 Reactions
89 Replies
3K Views
RIP Professor Kiah Duggins was among those lost in the mid-air plane collision at Reagan National Airport. Professor Duggins was set to begin a new chapter as a professor at Howard University...
5 Reactions
10 Replies
282 Views
Respect is something we all crave, but sometimes our actions can undermine our chances of earning it. Take people-pleasing behaviors for instance. While they might earn you some temporary favor...
0 Reactions
10 Replies
870 Views
Usiombe hii kitu uwe nayo kwenye mawazo yako na sana sana uwe unaingia kwenye platform mbalimbali kusoma dalili za huo ugonjwa (VVU na UKIMWI) au tabia zake baada ya kuambukizwa na ukawa una shaka...
8 Reactions
93 Replies
9K Views
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za...
16 Reactions
212 Replies
4K Views
Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameongoza uzinduzi wa mpango...
1 Reactions
6 Replies
313 Views
Hii ni ajabu na kweli ukisafiri na treni ya SGR utakuta maeneo mengi inapopita hiyo treni hayana network nzuri ya simu. Je makampuni ya simu hayaoni kama wanapoteza fursa ya kupiga pesa? Hawaoni...
2 Reactions
19 Replies
286 Views
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu Rucu mkoani Iringa, Rachel Mkubwa amefariki dunia kwa kile kilichodaiwa kubakwa hadi kufa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea usiku wa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Anonymous
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli...
2 Reactions
0 Replies
96 Views
Kuanzia Jana simu yangu kupitia mtandao wa Yas imekuwa ikituma hii sms Kwa namba nyingi nisizozifahamu. Kila baada ya dakika kadhaa nakuta imetuma tu Kwa namba nisioifahamu. Hii itakuwa nini?
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…