Kipindi niko mdogo stendi ya kwenda mikoani kutokea Dar ilikuwa Kisutu na nyingine ilikuwa Mnazi mmoja
Ni mpaka early 90s meya au mkurugenzi wa Jiji Bwana Keenja slipoihamishia Ubungo,jamaa...
Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona...
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq
Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.
Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata...
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi...
Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri.
Shetani ktk hii dunia ya leo...
Wanajukwaa!
Jiji katika siku hizi 2 litakuwa bize sana so kila kitu kitakwenda kwa speend sana
===================
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba abiria wanaofanya safari zao kati ya...
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI
Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka...
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu.
Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi...
" Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao"
Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates...
Popote pale uionapo mada inayowahusu watu wa Mungu usitumie akili yako bali tumia akili itokanayo na Mungu.
Tumekuwa wakurupukiaji wa mada sana hasa kuzogoa na kuwasema vibaya watu wafanyayo...
Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi.
Lakini hofu yangu ni juu ya...
Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka...
Dunia ina mengi sana tunaposema kuna watu wamevaa vilemba vya utumishi wa Mungu, kumbe ni njia ya shetani kuchukua nyota za watu. na asingechoma moto na kutubu, basi tusingemsikia tena yule...
Huu ni ushauri kwa mliomaliza kidato cha 4 (O-Level) mwaka huu na mnafikiria kujiunga na chuo japokuwa mna ufaulu mzuri wa kujiunga A-Level. Kama ni mzazi una mtoto aliyemaliza masomo hayo na ana...
Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini.
Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele...
Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya
Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
Habari za muda huu walipa kodi wa wakati wote !
Naomba kutoa wazo moja tu. Hivi hii nchi hatuwezi kuwavutia wawekezaji katika nchi yetu hususani maeneo ya Majiji mfano; Mwanza, Arusha, Dar es...
Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January...