Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam...
3 Reactions
14 Replies
599 Views
Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Nilikuwa nataka kusikimu nyumba yangu sasa nikamuambia fundi wangu anipigie hesabu ya vitu vinavyo hitajika,akapiga akanitumia picha ya vitu vinavyo hitajika. Lakini cha kushangaza mikanda ile...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii...
3 Reactions
11 Replies
414 Views
hongera yoyote aliyejenga pale ila angetaka kumaliza mchezo aweke michezob ya watoto kama pale city mall. utapata wateja sana. naomba kushauri
2 Reactions
6 Replies
264 Views
"i thought he was too nice" Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari. Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli...
5 Reactions
33 Replies
940 Views
Hello Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe...
18 Reactions
124 Replies
3K Views
Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
11 Reactions
83 Replies
2K Views
https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
2 Reactions
11 Replies
443 Views
Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama...
2 Reactions
5 Replies
275 Views
1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa...
3 Reactions
16 Replies
593 Views
Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Wananchi wa kijiji cha Kizimkazi wameungana pamoja katika Dua maalum ya Kumuombea kheri ya...
0 Reactions
12 Replies
221 Views
Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao. Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza...
17 Reactions
140 Replies
25K Views
🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold...
15 Reactions
52 Replies
775 Views
Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule. Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi...
17 Reactions
64 Replies
6K Views
MWALIMU wa somo la Baiolojia katika shule ya sekondari ya wasichana ya St Therese mjini hapa ambaye alidakwa akifanya mapenzi na mwanafunzi katika maabara ya shule hiyo amesimamishwa kazi...
2 Reactions
112 Replies
19K Views
Wakuu, Baadhi ya wadau wa sheria wamekiri kuwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi halipo kisheria bali neno kubaka ndilo linalotambulika. Wameyasema hayo baada ya hukumu ya hivi karibuni ya...
1 Reactions
11 Replies
927 Views
Habarini wana JF, ni jambo gani la ujasiri wa kiwango cha juu sana ambalo uliwahi kufanya kiasi kwamba mpaka leo hii ukikumbuka unajiona mwamba...? Mimi binafsi jambo la ujasiri kufanya...
8 Reactions
133 Replies
14K Views
Salaam wana JF, Mimi ni mwanaume ambaye ninawiwa kutoka moyoni kujishughulisha na "Lishe ya ubongo" yaani Elimu. Ndoto zangu za maisha zimeegemea kwenye Elimu zaidi. Sasa katika harakati za...
111 Reactions
247 Replies
47K Views
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024. Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa...
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…