Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi...
Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta linakukaushia tu. Limemkosa mhusika halafu...
Na Ferdinand Shayo, Manyara.
Timu ya mpira wa miguu ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited mkoani Manyara imecheza mechi ya kirafiki na timu ya...
Ukiangalia wakristo wengi wanaojazana kwa mwamposa, kiboko ya wachawi wengi hawatafuti kumjua Mungu na kuacha madhambi bali wanaenda kutafuta miujiza huku wachungaji wasio na miujiza wakikimbiwa.
CCM wakimsimamisha mh Samia apeperushe bendera ya CCM kwa nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa katika uchaguzi huo na wapinzani watachukua nchi kirahisi maana mh watanzania bara wengi...
Mwanaharakati wa haki za wanawake hapa nchini Joyce Kiria the Super woman kutoka Shirika la haki za wanawake Tanzania, amewataka wanawake wote nchini kuendelea kusimama imara katika kugombea...
Januari 24, 2025, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax (Mb) amefanya ziara ya Kikazi katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kimila...
Life is truly a Numbers Game
Maisha ni mchezo wa namba
Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake
Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au...
Biashara ya dada zetu kujiuza miili yao ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta...
Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma.
M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi.
Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile
nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale.
kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
Kwa nchi za wenzetu katibu kila kitu kinanunuliwa na kuuzwa kwenye shopping mall hivyo maduka ya Mangi hayapo kabisa.
Hebu tuangalie shopping malls kubwa kuliko zote Afrika.
1. Morocco Mall –...
Jana nilitoa link ya ku download hiki kitabu, kwa ambao hawaja download ingia JF Store, wandugu naomba msome vizuri hicho kitabu baadaye turudi kwenye mjadala hapa maana niliyoyasoma...
AZAM AZAM (Bakhresa)
Umejenga wigo mpana sana Kupitia Watanzania Masikini na watu wa Hali ya Chini kabisa, hao ndio waliokuinua ukakubalika, ukatanua mipaka Africa na Duniani.
Leo...
nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako...
UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....
Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au
Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba.
Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi)
Ni Mnyama anayepatikana kwenye...
Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar...