Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.
Soon kunakucha.
Tujuzane endapo kuna...
Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
Ilikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa...
‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria...
Kabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa
Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu.
Asee meza imepinduka ndugu yenu...
Tangu noti za dola zibuniwe mwaka 1862, Ni mara chache sana tumesikia zikibadilishwa design au kubadilishwa kwa namna yoyote ile, ila hapa Tanzania noti zimekuwa zikibuniwa, kueditiwa na...
Tarehe 20 Januari 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) unaoathiri wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, Kaskazini-Magharibi mwa...
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
Ulomi aliyekuwa...
Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo.
Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla...
Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫
1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni.
2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa...
Habari za jioni, aise leo nimefikiria zamani hizo kuhusu shuhuda za watu mbali mbali waliowahi kukutana na aina ya watu wafupi sana wakati wa usiku hasa boarding schools (vibwengo) je kwenye hili...
Mwanamuziki Chris Brown amewasilisha kesi dhidi ya kampuni ya filamu, Warner Bros. Discovery akiidai kampuni hiyo kiasi cha Tshs. Trilioni 1.2, akidai kwamba kampuni hiyo imechapisha taarifa za...
Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu jehanamu hasa kujua iko wapi nikitumia google photo map walau kupata direction yake.
Asee kumbe hata google map haifui dafu ikanibidi nitumie tu knowlege...
Kama ilivyo ada mara zote mtu ukiwasilisha hoja nzito yenye tafakuri za kiutulivu ndani yake lazima uonekane mwehu fulani au mvuta bangi fulani.
Mimi sio nabii wala mtume ila 2099 tutegemee kuona...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi.
Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili...
TUKIO: Alitekwa jana majira ya saa tatu akiwa karibu na duka lake.
WATEKAJI: Walikuja na gari aina ya landcruiser yenye vioo tinded wakapaki karibu yake wakashuka watu kama watatu hivi...
Siku zinaenda kasi! Vijana wa 1990-1993 mwanzoni nao tiyari wameanza kukuza!
👉Kimsingi Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwa msanii shetta
☑️Asije akatokea mtu akasema elimu ya Tanzania aina umuhimu...
Ni dhahiri shairi kama siyo press ya kwanza ya lema basi Leo hii mbowe angeibuka mshindi kwa kura zaid ya Mia sita mpk Mia tano
Imaging Jamaa pmj na kupigwa spana zote hzo ila bado amepata kura...
Hili Genge lilitamba sana miaka ya nyuma na kutuaminisha kwamba lenyewe ndiyo lina hati milili ya uongozi wa nchi yetu
Mambo yanaenda kasi sana, na tayari chama chetu pendwa kimekuja na azimio...