Kuna watu wanaishi kwa kuamini kila taarifa.Kwa ujumla ulimwengu wa leo unaendeshwa na habari za uzushi na uongo.Unaposikia au kuambiwa jambo lolote lazima ulichekeche. Ndio maana tukaambiwa akili...
Ulimwengu unaendelea kushuhudia utolewaji chanjo ya Covid-19 wakati janga la virusi vya Corona likiendelea. Shirika la afya duniani WHO linasema janga hilo halina dalili ya kumalizika mwaka huu...
Twitter imesema kuwa inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji wa mtandao huo watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa...
NAIROBI (Reuters)
Leo siku ya Jumapili mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) ameisisitiza serikali ya Tanzania kutoa taarifa juu ya hatua zake za kupambana na janga la coronavirus, akisema...
Mataifa makubwa yanapigania mambo matatu kwa sasa hivi, mambo haya ni nguvu, faida na uthibiti. Kwa lugha ya kichagga ni Power, Profit and Control (PPC).Fursa hizi tatu zinaweza kupatikana kwenye...
Vijana ndiyo wanaeneza corona na wazee wenye damu group A, wenye pumu, wenye magojwa ya kisukari ndiyo wengi wanakufa.
Sasa sijui uzalendo ni upi kama sio kulinda wenzetu.
Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85.
Utafiti uliochapishwa na taasisi ya...
Corona inaambukizwa kwa kishaka au kushika sehemu yenye virus na kuweka mkono wenye virus machoni au mdomoni.
Zinaa au tendo la ndoa haliwezi kufanyika bila kugusana na viungo vinavyoweza...
Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa
Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa...
Tanzania sio kisiwa, tunahitaji nchi nyingine kwenye mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na michezo, na kiusalama.
Kwakuwa Tanzania ni sehemu ya dunia, Afrika, SADC, na Afrika Mashariki...
Kulingana na uzoefu tulioupata kutoka mwaka jana hadi Sasa tunaweza kusema dawa ya Corona amabayo haijathibitishwa na wataalam wa afya ila inasaidia ni hii hapa;
1. Corona inatibika kwa kumwamini...
Even as the world struggles to grapple with the brutal third wave of the COVID-19 pandemic, a small but vocal group of skeptics insists that sinister forces are exaggerating the effects of the...
Kumezuka katabia ka watu kutishia wananchi Kuwa Corona ipo Tanzania utadhani wao wanaumwa Corona au ndugu zao wamekufa kwa CORONA. Watu wamebeba mabango Kuwa serikali inawaficha wagonjwa wa...
China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa.
Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka.
Kipimo hiki...
TAFITI mpya umeonyesha kuwa Covid-19 inaweza kufanya wanaume kukosa uwezo wa kuzalisha.Wanasayansi wanasema kwamba wanaume wanaoambukizwa virusi hivyo wanaweza kukosa kuzalisha kwa muda.
Kwenye...
Nyie endeleeni kupiga ngonjera na Magufuli wenu wakati hata panadol mnasubiri mzungu awaletee,hivi wewe mwafrica utabisha mambo yaliyoamuliwa na wakubwa?
Kwanza una nini cha kuonyesha...
Nilikuwa napitia matangazo ya chanjo za COVID-19 za Australia, chanjo itaanza kutolewa kwa wale walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi kama watoa huduma za afya, wafanyakazi wanaoishi...
Habari wana Kijiji,
Katika pirika pirika za hapa na pale kusoma taarifa za habari, nimekutana na mahojiano aliofanya tajiri wa marekani mnamo tarehe 27 January 2021, tajiri huyo miongoni mwa...
Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19BioNTech.
Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19.
Janga la...
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya Ulimwenguni, WHO limetoa pendekezo kwamba wagonjwa waliougua ugonjwa wa virusi vya corona au COVID-19 wanaoshukiwa au waliothibitishwa wanahitaji kuwa na huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.