Mwenendo wa dunia bado upo katika tahadhari dhidi ya Corona. Viongozi wa siasa, serikali na dini bado wanatuhimiza tuchukue tahadhari
Kwetu Tanzania madhara sio makubwa sana Kama wenzetu...
Wakati serikali ikiandaa kamati maalum ya kushughulikia gonjwa la Covid 19, naomba kuuliza hivi hii Covid 19 iliyopo India kwa sasa ndio hiyo ya awamu ya Nne au bado hii ya awamu ya tatu?
Maana...
1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe!
Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions
2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super...
👉 Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na Kigogo, Maria Sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo...
Kamati iliyoahidiwa na mheshimiwa Rais Samia Suluhu ya kuchunguza corona inabidi iweke hadidu rejea zake kwa umakini bila kupendelea upande wowote.Mambo yafuatayo ni muhimu kuyaweka kwenye utafiti...
By Antony Sguazzin, 26 March 2021, 17:34 EAT
The most mutated variant of the coronavirus yet was found in travelers from Tanzania, prompting scientists to call for greater monitoring in a country...
Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,
Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.
Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?
Kuna yule...
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.
Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na...
Kwanini kama taifa huru tusishindanishe mawazo yetu kuhusu usalama wa chanjo ya corona kama inafaa au haifai?
Kama tutaona chanjo ya corona inafaa kwa afya zetu iletwe nchini tuchanjwe.
Kama...
Hii ni muhimu kujua nchi inajimuikaje na dunia kuhusi corona. Tilijitoà na tukasusia WHO na policy zao na Corona containment, msimamo wa serikali yako ni ipi? Kuhusi vaccine etc etc.
Mfano, Kama...
Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watafiti wameonesha kuwapo uhusiano baina ya maambukizi ya corona na usingizi.
Utafiti uliofanyika awali ulionesha kuwa asilimia 40 ya watu waliopata maambukizi...
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania...
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada...
Wanasayansi wana wajibu mkubwa katika kulinda Afya ya Jamii.
Wajibu mkubwa zaidi ni madaktari walio wizara ya Afya.
Kujifukiza ni hatua moja tu katika kupambana na gonjwa hili baya la covid19...
JE KIRUSI CHA CORONA KINA KASI IPI YA KUJIBADILISHA?
Leo 16:30hrs 07/03/2021
Nianze kwa maswali fikirishi,Je kuna umuhimu wa watu kupata chanjo ikiwa kinga yako ni imara? Chanjo ina phase...
Wataalamu wa epidemiology ya magonjwa wanasema hakuna aliye salama mpaka kila mmoja wetu amekuwa salama. What does this translate to in our case with regard to the way we are handling the...
Kwako waziri wetu wa Afya Dr. Gwajima.
Sijajua sababu ilofanya hadi muweke bei ghari hivyo kuoata hichi kipimo kwa wanaosafiri, kipimo ni 235,000 Tsh. (100 USD) , hii sio sawa kiukweli mnatuumiza...
Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho.
Viwanja vya ndege pia...
Nimeona watu wakilaumu wakituna na wengine kudhihaki kwamba serikali haijawa serious huhusu Corona. Sisi tunaojua maana ya outbreak tunajua kwamba kwanzia mwezi wa 7 mpaka 12 hakuwa na Visa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.