Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Shirika la kazi duniani ILO limesema mamilioni ya watu ulimwenguni wamepoteza ajira zao au kupunguziwa muda wao wa kufanya kazi kufuatia janga la virusi vya Corona. Katika ripoti yake ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo kwa mara ya kwanza nahisi naishi duniani baada ya recovering ya corona. Nimeugua sana kwa week mbili, ombi langu kwenu wote kama una magonjwa kidogo kama BP, Sugar, TB, HIV nakadhalika...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali kusema uongo ni kosa. Kamati inayoundwa na Rais wa nchi nzima kusema uongo ni kosa zaidi. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kusema uongo au kupumbaza watu. Chanjo ya korona, tuchague moja...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Hadi mwishoni mwa mwezi Mei China ilikuwa imetoa msaada wa zaidi ya dozi milioni 20 za chanjo ya Covid-19 kwa karibu nchi 40 za Afrika ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhakikisha dunia inasonga...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Walioleta hii ripoti ni wenye elimu kubwakubwa (Maprofesa, PhDs', Masters, Degrees) na wengineo wamo humo na inawezekana "La saba pia wamehusika kwa namna moja au nyingine, inawezekana kabisa...
68 Reactions
127 Replies
10K Views
Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Kwema wadau, Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19. Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina...
12 Reactions
85 Replies
7K Views
Mapambano ya Corona virus yanapamba moto hapa nchini. Na kila mtu anatoka kivyake. Tunasikia kila kona ni habari za nyungu, lakini hii ya Musukuma ni balaa. Wapiga kura wote Geita vijijini!
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Tanzania tunatia aibu, nimesafiri kwenda nje nikapimwa na kupewa certificate na kulipa pesa. Baada ya kufika nje nilionyesha certificate wakagonga muhuri nikaendelea na shughuli zangu. Baada ya...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo haijachanja raia wake chanjo ya covid-19 mpaka sasa. Nchi nyingi duniani zimechanja raia wake chanjo ya covid-19. SWALI: Je, kimadhara na faida, kuna...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Dr Yeadon, aliyewahi kuwa Makamu Rais wa Pfizer, moja ya makampuni yaliyotoa chanjo ya Korona, anasema: “I have absolutely no doubt that we are in the presence of evil (not a determination I’ve...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika. Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Watafiti wamechapisha katika Jarida la Afya ya Wanaume kuwa Virusi vya Corona vinaweza kusababisha mwanaume kushindwa kusimamisha Tafiti imeonesha kuwa Corona huathiri mishipa ya damu ambayo pia...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi...
9 Reactions
72 Replies
9K Views
Naombeni kuwakumbusha viongozi wetu pamoja na wasaidizi wa viongozi, MSIICHUKULIE POA CORONA, CHUKUENI HATUA MADHUBUTI KIPINDI HIKI CHA MKUSANYIKO WA MSIBA WA KUMUAGA HAYATI JPM. Nanyi wasaidizi...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni vizuri Serikali badala ya kutaka kununua chanjo ya Covid 19 ambayo haijakamilisha hatua muhimu za ufanisi ni vyema ikatoa fedha kwa wanataaluma wetu waliopo nchini wafanye utafiti wa kubuni...
0 Reactions
5 Replies
931 Views
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa Chanjo ya COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo mtu 1...
0 Reactions
5 Replies
777 Views
By Agencies More by this Author Vadodara. Tanzanian national, Emmanuel Harrison Ngowi has died of Covid-19 complications at a government facility in the city of Vadodara while undergoing...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Michezoi ya Umitashumta na umiseta imekuwa ikiendelea kipindi hiki kuanzia ngazi za shule,kata,wilaya na mkoa ili kuendelea taifa. Serikali Haina budi kusitisha michezo hii ili. Kusubiri wimbi...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Back
Top Bottom