TAARIFA KWA UMMA wa na [emoji1621][emoji1241]Dr Lugendo
Karibuni,
SERIKALI MOJA YA DUNIA NA CHANJO YA COVID-19
Hii ni mada ndogo iliyo katika MADA kubwa isemayo “ KUNA NINI NYUMA YA CORONA ?”...
Mlipuko virusi vya korona mwishoni mwa mwaka 2019 umebadili kabisa mifumo ya maisha duniani. Ugonjwa huu umesabababisha athari kubwa sana katika kila sekta pamoja na kugharimu maisha ya watu...
Hapa nitatolea mfano ambao upo unaishi jinsi mjasiriamali anavyo weza badili Tatizo kua Fursa.
Dunia nzima bila shaka umekubwa/Ishawahi kukubwa na janga hili la CORONA Tangu mwaka 2019 ikiwa ni...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameziagiza Halmashauri zote nane kupitia wataalam wa afya kusimamia kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya wimbi la tatu la corona.
RC...
Watumishi tisa wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 kwa wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) wamesimamishwa kazi kwa kosa la kutokufika kazini kutoa...
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TFF Aliyeenguliwa kwa fitna , Oscar Oscar na Rafiki yake ambaye sikumtambua jina lake wametangaza hadharani kwamba wamepata chanjo ya corona nchini Marekani, watu hao...
Haya malamiko niliyapata wiki sasa nilikuja kupokea Wamalawi sita wana docs zote kuonyesha wamechanjwa na hawana Covid.
Wazee wa JNIA pengine wamo uliowasimamisha kazi wamekuwa wakisumbua sana...
Je, Tanzania Tutegemee Lockdown Tena?
Katika wimbi la tatu la CORONA Tanzani itakua chini ya Vizuizi vya kutoka nje? Hapo jibu ni hapana kwa mjibu wa majibu ya Waziri wa Afya Dkt. Dorothy...
Covid-19 is viral infection pandemic that emerged in 2019 that has bought undesired consequences such as business closures, anxiety, uncertainty, loss of life etc. in dealing with it measures such...
Wakati baadhi ya nchi zimekuwa zikipambana na wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19, na zikiendelea na juhudi za kutoa chanjo kwa watu wake, baadhi ya serikali zimekuwa zikitafuta kila njia ya...
Wakuu,
Nimekaa natafakari juu ya affordability ya matibabu ya gonjwa la corona hapa nchini na nimebaini kwamba haina urafiki na watanzania wenye vipato vya kati na chini
Hakika mwananchi wa...
Daktari bingwa wa Pua, Koo na Masikio katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zazibar, Masoud Hakim Bakari amesema baada ya kupata chanjo ambayo imeanza kutolewa kwa watumishi wa Afya Zanzibar alipata...
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais muungano na mazingira, Suleiman Jaffo ameongoza maombi ya kumwombea rais Samia Suluhu pamoja na Taifa kuepuka ugonjwa hatari wa Corona na kuzitaka taasisi...
Hivi karibuni Serikali ya awamu ya sita imetangaza kuwepo kwa mlipuko wa Corona na kuuarifu umma kuchukua taahadhari ya kujikinga na ugonjwa.
Kinachoshangaza serikari hiyo hiyo inayotangaza...
SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini.
Hayo...
Kipindi hiki cha wimbi la tatu la Corona DELTA linatishia sana uhai kwa watanzania.Hapo hapo unakuta watu wanafanya harusi kukutanisha watu wengi wengi hivi tunajipenda kweli.
SIkatai harusi ni...
Covid 19 wimbi la tatu inatulia timing kiaina, tuchukue hatua hizi
Madaktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la Covid 19 kimekuja na dalili za kistaarabu...
Rais Samia kwanza kabisa Mimi sipo upande wa CCM na naichukia sana CCM, lakini kutokana na kusema tukukosoe kwa heshima basi nitafanya hivyo kwako.
Naomba nikukosoe kwa heshima kuhusu ili suala...
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani (lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine...
Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi.
Akizungumza na waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.