Viongozi wetu hebu Busara itumike kwenye hili la Chanjo badala ya Vitisho na Kauli za Ubabe.
Nakumbuka mlihubiri kwenye Mikutano yenu Kuwa Kuchanjwa ni hiari na Sio lazima kama Ndio hivyo kwanini...
Simiyu, Tanzania
Mheshimiwa rais Samia alipoingia madarakani aliunda kamati ya wataalamu wa hapa nchini ili kufuatilia mwenendo wa mlipuko wa UVIKO-19 na kumshauri njia za kutumia katika...
Je, umeshawai kujiuliza ni nani aliwaambia watanzania kwamba chanjo ya korona ina madhara, kama vile kuganda kwa damu yani blood clotting?
- Ukiachana na Hayati JPM aliyekuwa akiimba huu wimbo...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne.
Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na...
Dah! Mnisamehe tu
1. Kama COVI-19 inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwa njia ya vitone vidogo vya majimaji vinavyotokana na kupiga chafya, kukohoa au kuongea naye. Kwanini marehemu anayedhaniwa...
Kiukweli kama tunahitaji usalama basi mkoa wa Kilimanjaro uwekwe lock down. Hali huko ni mbaya kuliko inavyoelezwa.
Serikali kama hamtachukua tahadhari mapema msije kusema hamkuambiwa. Wageni...
Kama hakuna hujuma, mRNA is the safest maana ni part of spike sequence ambayo haiwezi kugeuka kuwa corona virus.
kama umesoma mRNA zinavyotengenezwa na una ABCD za vaccines, molecular biology etc...
Kilichoonekana leo lake Tanganyika ni dhahiri hakukua na tahadhari yoyote iliyochukuliwa. Mlioenda uwanjani na mliokula 🦆 kwenye 🚆 mjipange kuzikana na kuku wa kideri. Delta haiwezi kuwaacha salama.
Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini ya KCMC iliripoti uhaba wa mitungi ya gesi ya oksijeni kutokana uhitaji mkubwa
Bohari ya Dawa(MSD) wametoa mitungi 300 ya oksijeni ili kusaidia kumudu...
sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa!
jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye...
Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa...
Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa.
Aidha, Hospitali...
Julai 25, 2021 Wizara ya Afya imetoa muongozo wa kiafya ambao kimsingi haujaangalia ukali wa COVID19 na hali za maisha ya watu mtaani. Eti kinyozi anunue mataulo... ekhe wakati yeye vinyozi...
Katika juhudi za kupambana na maambukizi ya #Corona, Serikali kupitia Wizara ya Afya imetaka Masoko, Magulio na Minada kuhakikisha inazingatia umbali kati ya mtu na mtu, na kila mwenye biashara...
Bunge la bajeti limepita bila mpango maalumu wa kukabiliana na corona.
Hatima yake tunataka kuwekeza mapambano dhidi ya corona kwa kitumia hisani za WHO,USA n.k.
Tuamshe bongo zetu na tuje na...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC imezidiwa na idadi ya wagonjwa wanaohitaji hewa ya Oksijeni ukilinganisha na mitungi 400 inayozalishwa kwa siku huku mgonjwa mmoja akitumia mitungi...
Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:-
Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content)
Tutafsiri kila kimoja na...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya...
Ninaomba nieleweke. Ushauri wa kwanza kabisa wa kamati ya corona ni kwamba SERIKALI ITANGAZE UWEPO WA CORONA. Kwa maneno mengine serikali IKIRI (kwa kinywa chake) uwepo wa corona! Anayeshauri...
Moshi hali ni mbaya sana watu wanakufa kwa covid sio mchezo.
Ni juzi tu hapo tumetoka kumzika bamkubwa alokufa kwa Covid leo jana na leo kuna misiba mingine tena.
Hapo napigiwa simu naambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.