DKT. MOLLEL: HATULAZIMISHI MTU LAKINI TUNATAMANI WOTE WAWEZE KUCHANJWA
Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema hawalazimishi mtu kupata chanjo ya #COVID-19 lakini wanatamani kila mmoja aweze...
Kwakuwa serikali imeamua kupambana na Covid -19 kwa chanjo, na kwakuwa zipo aina mbalimbali za chanjo ya CORONA,
Nakwakuwa pia wapo waliodhamiria kuipata chanjo hiyo basi ni vyema wakaongeza na...
Habari wana jamvi,
Kwa wale wenzetu mliobahatika kupata chanjo tayari, tupeane taarifa.
Ni aina gani ya chanjo ulipewa?
Baada ya kupigwa chanjo umebaini tatizo lolote la muda mfupi?
Chochote...
Na Chu Joe
Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo ya...
Naona watu wanajadili sana kuhusu hii chanjo kuwa ina madhara, Wengine wanasema ukichoma baada ya miaka 10 unageuka zombi, wengine unageuka magnetic unaganda kwenye vyuma ngoja niwatoe...
Kwa mara nyingine tena suala la asili ya COVID-19 limerudi tena katika medani ya kisiasa. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bw. Zhao Lijian amekuwa akitoa msimamo wa China mara kwa mara...
Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali imepokea Dozi 1,058,400 tu hivyo Makundi ya Kipaumbele yatakayopewa ni Watumishi wa Sekta ya Afya waliomstari wa mbele, Wenye umri wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa wito kwa Wananchi kuhakikisha wanapokea Chanjo ya Corona kwa mustakabali wa Afya zao.
RC Makalla ametoa kauli hiyo akiwa ni miongoni mwa...
Mtangazaji Maulid Kitenge ametoa hoja katika swali kuwapa changamoto wanaokataa chanjo
Amesema kama unatumia pombe kali na unavuta sigara ambazo zinakuweka katika hatari ya magonjwa na kufariki...
Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza...
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya...
Chanjo kama chanjo
Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo!
Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu...
Ni jambo la kheri kuwa sasa hatma ya maisha yetu iko wazi zaidi ndani ya gonjwa hili hatari.
Tufahamishane vilipo vituo vya Chanjo hii pendwa kutoka kwake beberu mwingi wa huruma kuliko wenzetu...
Wizara ya Afya Tanzania.
1. Aina za chanjo zitakazotumika kuchanja ndani ya Nchi yetu kwa kuzingatia manufacturer na mahali ilipotengenezwa?
2. Chanjo hiyo itakayotumika kuchanja,je,imefanikiwa...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na Shirika la Kuzuia na Kupambana na Magonjwa Marekani (CDC) kwa pamoja yalishatoa Muongozo kwa watoa huduma ya kuchanja chanjo ya Covid-19 kiwa siyo lazima kwa...
Licha yakwamba mambo ya kiutawala yanayumba ila acha niseme tu respect kwenu wana jf
Me kama mwanachama huru apa jf kuna mambo mawili (chanjo ya korona na tozo kwenye miamala) nashindwa kuyaelewa...
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, amewataka wananchi wanaokwenda kuwaona wagonjwa katika hospitali hizo kuhakikisha wanavaa barakoa kwa lengo la kujikinga wao na wagonjwa dhidi ya ugonjwa wa...
Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili.
Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na...
Dar es Salaam
Wakati chanjo za UVIKO-19 tayari zipo nchini, na tayari watu wanafanya uamuzi wa kuchanjwa au kutochanjwa, zimekuwepo kauli mbali mbali kuhusu umuhimu wa kuchanjwa au kutochanjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.