Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Makatibu Wakuu wa Wizara za Afya pamoja na Wataalam wa Wizara hizo kuoka nchini Tanzania na Kenya wamekutana leo jijini Nairobi na kuweza kujadili changamoto zinazowakabili nchi hizo mbili ikiwemo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa Askofu Gwama ametangaza wazi wazi kwamba hataki kuchanja chanjo ya Corona, ninamuelewa kwani ni haki yake binafsi kukataa, maana chanjo ni hiari. Mahali ambapo simuelewi ni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Soma hii kwa kumaanisha Tanzania tunachanjo 15 ikiwemo hii tunayoikimbia zote ni za mabeberu,Wameshindwa kukuua kirahisi ukiwa Mchanga leo umepata akili ndio unamkimbia nyoka uliyelalanae mpaka...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa maelezo kuhusu chanjo ya corona kama ifuatavyo, ambapo imewahakikishis wananchi kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
shirika la fedha duniani (IMF) "tutaipatia Tanzania million500 ikikamilisha masharti ya corona, lock down, takwimu , pamoja na chanjo. Viongozi wa Afrika wame kuwa vigeugeu baada ya kutuaminisha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimebahatika kupata chanjo katika kituo cha jirani. Vitu viwili ambavyo nimeviona na nadhani kuna haja ya wahusika kuvifanyia kazi ni hivi 1. Booking Jana nilifanya on-line booking na kuweka...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya leo Agosti 3 mwaka 2020 amechomwa chanjo ya Uviko -19 kama njia mojawapo ya kujikinga na ugonjwa huo hatari duniani. Ole Milya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amepata chanjo ya kwanza ya kujikinga na ugonjwa wa corona. Profesa Lipumba amepata chanjo hiyo leo Jumatano Julai 22,2021 katika...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Ni kwanini sisi watanzania tutumie chanjo Ya Johnson & Johnson na ilihali Zanzibar wanatumia chanjo kutoka China (naomba kusahihishwa kama ni uongo). Je, mbona hatusikii tena vifo, au wagonjwa wa...
2 Reactions
5 Replies
943 Views
Najaribu kuangalia matamko ya kuforce vitu yakina Mtaka na Makala! Najikuta nawaza hivi watanzania tungekuwaje kama Covid ingeanzia kwenye awamu ya 6? Tusingekuwa Lockdown kweli? Maana naona...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
ZINDUKA CHANJO YA COVID 19 ------------------------------------------- Kumekuwepo na wasiwasi juu ya Matumizi ya chanjo ya covid 19. Wengine Wana wasiwasi juu wa kupata Madhara ya baadae kutokana...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Chanjo ya Covid-19 iliyokuwa ianze leo, imeahirishwa mpaka atakapochanjwa kwanza Mkuu wa Mkoa Rukwa na kuzindua zoezi hilo hapo kesho. Huu ni upumbavu mwingine katika awamu hii. Gonjwa linaua...
4 Reactions
7 Replies
932 Views
Hii ni miongoni mwa chanjo zilizo idhinishwa kwaajili ya kukabiliana na madhara ya covid 19. JINA; JNJ-78436735 WAZALISHAJI: Jansen Pharmaceuticals Companies of Johnson and Johnson Aina ya...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Moja kwa moja kwenye uzi. Ugonjwa unaongoza kuua watu Tanzania kwa miaka na miaka ni malaria, lakini hatujawahi kutumia nguvu yeyote ya kutisha kukabiliana nao zaidi ya kupeana neti za misaada...
32 Reactions
181 Replies
10K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Utamaduni wa kusafirisha maiti na kwenda kuzikwa alikozaliwa marehemu, kunasabaza ugonjwa toka eneo moja kwenda lingine. Ndugu zetu wa kaskazini kwa sehemu kubwa ndiyo wenye tamaduni hizo...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana. Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda...
34 Reactions
172 Replies
15K Views
Kumekua na sintofahamu nyingi mtaani na wengi wanajiuliza maswali kuhusu Chanjo ya Covid, Naomba nieleze kwa jinsi ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu. Kwanini...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
RC MAKALLA: UVAAJI BARAKOA KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI NI LAZIMA - Awataka LATRA kusimamia Level seat. - Aelekeza Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya kusimamia Utekelezaji wa Mwongozo wa Wizara...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu naomba mwenye kujua namna ya kufanya online registration ya chanjo ya COVID-19 aweke hapa link au namna ya kufanya huo usajili online.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom