Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo.
Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia...
Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari...
Habari wakuu,
Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini.
Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa...
Siku moja iliyopita, wazungu wametubwagia furushi la chanjo za misaada. Zinaitwa Johnson Johnson.
Furushi hilo lina chanjo milioni moja ambazo zinapaswa kudungwa chap chap. Na hivi kesho tu, Rais...
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021.
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid.
Burundi, India...
Wakuu,
Leo asunuhi nimepata chanjo ya COVID 19 aina ya Johnson & Johnson; single dozi.
Kwakweli najiskia kujiamini sana kwenye vita dhidi ya Covid-19. Najiona ni mzima zaidi na kama vile hii...
Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona.
"That has been known since the start of the pandemic. But...
Kwanini mnatumia nguvu kubwa namna hii kulazimisha chanjo? Kama ni kwa faida yetu kwanini mtumie nguvu namna hii?
Sasa hivi mmeamua kuedit cheti fake cha Gwajima kuonyesha amechanjwa, ila...
Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao...
Wakati janga la corona likiendelea kutikisa dunia, Chama cha wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzania (TDA) kimewataka madaktari wa meno kuongeza umakini wakati wa utoaji huduma kwa kuwa kundi...
Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, CCM Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei amesema chanjo ni salama na chanjo ni kinga. Kukubali kuchanja ni kuonesha kujali afya na uhai...
Habari wanajukwaa;
Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba
Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini,
Hivyo...
Zoezi la kuzindua chanjo kwa mkoa wa Arusha hatimaye limefanyika na wananchi kadhaa kuhudhuria tukio hilo lililofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha.
Katika tukio hilo...
Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious.
Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa...
Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au...
Imeandikwa na JEC
Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo...
Akizuiwa au akishughulikwa kwa nguvu kwa namna yoyote ile na mamlaka asizidi kueneza uzushi , uvumi na uongo kuhusu chanjo ya Corona itawaaminisha watu wengi zaidi kwamba kuna nia ovu nyuma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.