Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf.
Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19.
Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana...
Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari...
Nimesali leo Kanisa Katoliki Ngaranaro (kwa Babu) ibada ya misa ya kwanza. Nimesikitika sana hakuna tahadhari yoyote kuhusu corona hakuna hata tangazo zaidi ya vindoo vya maji ambavyo hakuna...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na chanjo za #COVID19.
Tangu kuanza kwa zoezi la utoaji chanjo zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa chanjo...
Wakati kukiwa na mjadala wa baadhi ya wabunge kuhusu chanjo ya corona inayoendelea kutolewa nchini, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema pamoja na chanjo kuwa hiari, haimfanyi mtu kuwa na hiari ya...
Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu.
Poor us
Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!?
Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu...
Msanii maarufu nchini na Mwenyekiti wa Jukwaa la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele 'Steve Nyerere' ameteuliwa kuwa Balozi wa harakati za kupambana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona...
Toka zoezi la kupata chanjo lizinduliwe rasmi kuliwekwa vipaumbele kwa makundi matatu.
Waliofika miaka 50 na zaidi
Wahudumu wa afya
Wenye magonjwa ya Mara kwa mara
Kwanini wasingesema Kila mtu...
Umoja wa Afrika umeitengea Tanzania dozi milioni 17 za chanjo za UVIKO- 19 kupitia mpango wa Umoja huo wa kuzisaidia Nchi wanachama kupata chanjo kwa ajili ya Wananchi wake.
Waziri wa Mambo ya...
Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona.
Nia ya bandiko hili ni...
Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa.
Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya.
Akija kazini mnatakiwa kuishi nae...
Sijui ni leo tu au siku zote. Sijui ni Amana tu ama na kwingineko. Kupata chanjo inakubidi uwe na subra. Toka saa tano nipo hapa mpaka muda huu saa nane na dakika ishirini bado sijachanjwa.
Na...
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imetangaza rasmi kuanza kuwashusha abiria wote ambao wataonekana ndani ya vyombo vya usafiri wa umma bila kuvaa barakoa ikiwa katika kupambana na maambukizi ya...
Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂
======
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni...
Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor...
Picha: Baadhi ya Wazazi wakiwa katika Shule ya Msingi Imanga
Wazazi wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi Imanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamezuka shuleni hapo kwa...
Rafiki yangu mpendwa,
Kama umewahi kudhani kwamba huwezi kuibadili dunia umekuwa unakosea sana.
Kila mmoja wetu kuna kitu anaweza kufanya kuibadili dunia na kuifanya kuwa sehemu bora kabisa ya...
Leo kuna tukio nimeshuhudia ndani ya daladala asubuhi, tukio ambalo limenipa tafakari ya kujiuliza kweli hii vita dhidi ya COVID-19 tutaishinda kweli; tuko makini sisi kama wananchi na mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.