Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Leo nimeamka asubuhi nikitazamia daladala zote zinazofanya kazi hapa mkoani Dar es Salaam zitakuwa zinapakia level seat na abiria wote wakivaa barakoa, sawasawa na agizo la mkuu wetu wa mkoa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Habari zenu wana Jamiiforums, poleni na majukumu ya kutwa nzima. Bila kupoteza muda, ugonjwa wa Corona baada ya kuonekana kutokuwa kwenye mjumuisho wa magonjwa hatari yanayotambulika na shirika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TBC 1 wamefikia hatua ya kuweka matangazo na nyimbo za kuhamasisha chanjo, hawa balance kwa kuweka matangazo na nyimbo za kupinga chanjo, hili ni kosa. Waziri Gwajima anatuhamasischa tukachanje...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la...
0 Reactions
1 Replies
934 Views
Musoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima ametetea kauli na msimamo wake wa awali kuhusu njia za kukabiliana na Uviko-19, huku akiwavaa wanaomkosoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kwanini wanamichezo hasa wachezaji mpira, riadha n.k hawasumbuliwi na Covid -19? Wengi wamekutwa na virusi lakini hawalazwi wanaendelea na mazoezi au kucheza mechi pia...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza. Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia . Binafsi...
15 Reactions
71 Replies
8K Views
Tumeya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Ajira imesema baada ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 imepokea migogoro inayofi kia 18,222 kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu. Kaimu Msemaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita madaktari wameonyesha umuhimu mkubwa katika jamii yetu, kwani wao walikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Tunakumbuka...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Nashangaa sana kuona wale wanaoitwa waumini wa Gwajima wakijiinua inua kutoka vitini huku wanaitika Haleluya pale mchungaji wao bwana Gwajima anapowapigisha stori za kijinga na kuwapotezea muda...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Akizungumza na Mwananchi jana, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Shadrack Mwaibambe alisema idadi hiyo ni ndogo ukilinganisha na idadi ya watu katika makundi yaliyolengwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Juhudi za ulimwengu kuudhibiti ugonjwa wa Covid-19 zimeendelea kuenea ulimwenguni kote baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali: Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika. Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kukaa na wanangu mkubwa wa kike 11yrs anayemfuata ni wa kiume 6yrs. Nilitumia fursa hiyo kutaka kujua maoni yao juu ya chanjo dhidi ya Covid19. Niliwauliza je...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom