Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema wanaotaka kwenda Hijja ambao wamechoma chanjo ya Sinovac wanatakiwa kuchoma tena chanjo ya Johnson & Johnson kwa sababu Saudia haiitambui...
Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma...
Kwa hali niliyonayo nahisi hii ni covid 19 3rd wave Delta.
Kwa muda wa wiki nzima hii inayoisha kesho nimekua naumwa ugonjwa usiojulikana. Nimeenda hospitali zaidi ya 2 bado sionyeshi ugonjwa...
Wimbi la tatu la janga la COVID-19 kwa kirusi cha Delta linasambaa kwa kasi barani Afrika na mpaka sasa nchi 16 za bara hilo zimebainika kukumbwa na kirusi hicho.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya...
Wanasayansi nchini Uzbekistan wanatengeneza chanjo dhidi ya virusi vya corona inayoweza kuliwa ndani ya nyanya, Wizara ya Ubunifu ya nchi hiyo imeeleza.
Wanasayansi kutoka Chuo cha Sayansi...
Wakati kimeingia nilijua tutazika mpaka panzi lakini naona hakuna kilichotokea
Misongamano kama yote nchi nzima, wagonjwa wa sukari, wazee, wenye HIV nk naona bado wako mtaani wanadunda...
Ripoti ya Jukwaa la Uchumi Duniani 2021 (World Economic Forum) ya pengo la Jinsia imeeleza kutokana na athari za mlipuko wa COVID-19 inaonyesha kuwa madhara ya kiafya na mtikisiko wa kiuchumi...
Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19.
Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi...
Aidha ameongeza kwa kusema "utashi wa Mungu tuwe hai,hao wengine wapiga kelele kina Gwajima achaneni nao"
Chanzo;Mwanahalisi Digital
Nadhani tusubiri Jumapili kwa majibu ya upande wa pili.
Dar es Salaam. Madaktari wamebaini kuwa virusi vipya vya Uviko-19 vinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Hata hivyo takwimu za mwisho zilizotolewa na Wizara ya Afya nchini Agosti 15...
Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi...
Ili kulinda wafanyakazi wa kigeni wanaoishi na kusoma nchini China, pamoja na kuwajengea kinga imara dhidi ya virusi hatari vya Corona, China imewapatia chanjo zilizotengezwa ndani wageni wenye...
Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita...
Mimi binafsi nimejiridhisha kupitia watu mbalimbali waliochanjwa ,kuwa chanjo zinazotolewa hapa nchini, zina uwezo wa kukinga uviko kwa kiwango cha kutosha.
Na hii ni kwa wale waliopitisha zaidi...
1.Kila mtu anajua,
Kiloikumba dunia,
Huruma itakujia,
Habari ukisikia,
Kwa kubwa asilimia,
Wengi wakiangamia,
Tuwaze na kuwazua,Corona kuizuia.
2.Vifo vinavyotokea,
Afrika na eshiaa...
Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni...
Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za...
Chanjo ya Korona inaweza kuwa hiari, lakini usiseme hutaki chanjo halafu uendelee kuwa konda wa basi au nesi hospitali, tafuta kazi nyingine.
Katika hali ya haki za binadamu, kila mtu ana uhuru...
Sasa misiba IPO karibu kila mtaa na Kijiji hasa wazee wanapukutika fastest ,miili ya watu imejaa mahospitalini ni misiba tu.
Mwenye magroup ya kazini wadau wanatangaza ndugu zao kufa kila uchao...
Watanzania hawaishiwi hoja kwa kweli.
ETI Katika hoja wanazotumia wanasema eti chanjo gani ambayo serikali imejitoa kabisa kwamba litakalokupata wao hawawajibiki kwa lolote?
Watanzania wamesahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.