Covid-19 ni janga ambalo ni hatari kwa watu katika jamii, lakini ni hatari zaidi kwa watu wenye mahitaji maalumu kutokana na hali walizonazo kuwafanywa washinde kutekeleza mambo muhimu ili...
Hadi ninavyo andika hapa hakuna hata mbuga moja ya kusini Inayofanya Covid sample collection
Halafu unasikia Mtu anasema eti tuna promote mbuga za kusini watalii waende huko
Mbuga hizo ni;
1...
Ugonjwa wa covid 19 au uviko unaenea kwa kasi nchini.wizara ya afya utadhani haipo.hakuna jitihada zozote zinazofanywa na wizara hii kuhamasisha wananchi kujikinga na huu ugonjwa wa corona...
SERIKALI imezindua mpango wa jamii shirikishi na harakishi wa chanjo dhidi ya UVIKO-19 wenye mambo 10 ikiwamo kuwapo kwa chanjo tembezi (mobile vaccination site) na kuwafuata wananchi walio tayari...
Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema kuwa watoto wanapaswa kufahamu kinachoendelea kuhusu Chanjo ya COVID-19 na ni muhimu wapewe majibu ya kirafiki
Kama mzazi ana hofu kuwa...
Are you vaccinated Mr President?
New York wants proof, U.N. chief cannot enforce
By Michelle Nichols and Mary Milliken
United Nations Secretary-General Antonio Guterres gestures during an...
Wataalamu wa Afya wa kituo cha kudhibiti na kupambana na Magonjwa cha Marekani (CDC) na wale wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanahimiza umma kuzingatia na kufuata masharti ya matumizi ya chanjo...
Nimetembelea sehemu nyingi za starehe na maeneo mengi ya biashara watu wamejazana na wengine kutovaa barakoa mbaya zaidi wengine walikuwa wakibishana Yanga na Simba jinsi Manara alivyotoka Simba...
Wataalamu wa afya kutoka Shirika la Afya Duniani wanashauri watu kutochanjwa ikiwa bado wanaugua au wana dalili za Covid-19. Jambo hili linajidhihirisha katika majadiliano kati ya Vismita Gupta...
Nicki Minaj alizua dhoruba ya media ya kijamii Jumatatu usiku baada ya yeye kutuma twiti juu ya kusita kwa binamu yake kupata chanjo dhidi ya coronavirus, akitoa maoni kadhaa kwamba alikuwa...
Kuna watu wengi wanapona kwa kutumia dawa za hospitalini pamoja na mitishamba kwa gharama ndogo (ya kawaida) lakini dawa hizi hazisisitizwi popote, yaani dunia imeamua kwenda na chanjo badala ya...
Yuko sahihi
Au hayuko sahihi
Ni wewe na mimi kuamua.
Yeye anakupa first hand experience.
Na kwa upendo wake anasema,
Kwa wale ambao hamjachukua hatua kama aliyochukua yeye,
STAND YOUR GROUND...
Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema ni vyema watu wazima wakawa na taarifa sahihi kabla ya kuzungumza kuhusu chanjo ya COVID-19 na watoto
Inashauriwa pia kusikiliza maoni na...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali inaandaa utaratibu wa wiki ya uchanjaji ambayo inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Septemba au mwanzoni mwa mwezi Oktoba.
Msigwa...
Kwa hali ninavyoiona ya hii Korona kuondoka na watu, kuna siku watanzania watapanga foleni za kilomita kadhaa ili wapate chanjo.
Nilienda kupata chanjo siku ya jumanne. Nilikuwa niko peke yangu...
Shirika la Afya Duniani (WHO) linashauri kuwa matumizi ya barakoa kwa watoto wa umri wowote walio na shida ya ukuaji wa akili au mwili, upumuaji na matatizo mengine maalum ya kiafya hayapaswi kuwa...
Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk.
- Mfano kwa magonjwa, ukiona...
Ni muhimu na ni haki kwa kila anayechanjwa kuwa na kadi maalumu inayotambulika na kumthibitisha kuwa amchanjwa.
Unashauriwa kuitunza na kuihifadhi kadi hiyo kwa sababu inakuwa na taarifa zako...
Je, unatumia dawa za kupunguza maumivu kabla ya chanjo ili kuepusha athari (side effects) zake?
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya kuwa inaweza kupunguza ufanisi wa chanjo.
WHO inasema kuwa...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.