The following countries of the world have no record of Coronavirus:-
Kiribati
Marshall Islands
Micronesia
Nauru
North Korea
Palau
Samoa
Solomon Islands
Tonga
Turkmenistan
Tuvalu
Vanuatu...
Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa.
Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imefanikiwa kumaliza dozi zote za chanjo 3,320 za Covid -19 ambazo ilipewa na Serikali kwa ajili ya kuwachanga wananchi...
Kila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu...
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani tuliona mageuzi ya kutisha na amsha amsha ya maendeleo kila mahali, miradi iliibuliwa na kutekelezwa kwa kasi, ikawa ndio kama tumezinduka toka...
Kampuni ya YouTube inayomilikiwa na Google imesema itaondoa video zote na baadhi ya akaunti za Watu maarufu wanaoweka video zenye maudhui yanayozipinga chanjo za corona zilizothibitishwa, itaondoa...
Baada ya mheshimiwa Rais Samia kutoa mwelekeo wa taifa kuhusu mapambano ya Corona zimeibuka hoja nyingi sana hasa kuhusu hizi chanjo.
Jana nilipata nafasi ya kumtembelea rafiki yangu hapa...
Imeelezwa kuwa mtu akipata maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 viungo mbalimbali vya mwili vinapata madhara ikiwemo kupungua kwa nguvu za kiume, kuathirika mifupa na mimba kutoka.
Pia maambukizi...
Ripoti ya Wizara ya Afya imeonesha kuna jumla ya vifo 719 vilivyotokana na #COVID19 nchini Tanzania huku maambukizi yakiwa 25,846 tangu kuripotiwa kwa ugonja huo.
Watu 45 wapo ICU. Taarifa...
Mtenge mgonjwa katika chumba cha peke yake, mgonjwa ale au alishwe katika chumba chake.
Vaa barakoa kila unapoingia chumba cha mgonjwa.
- Safisha vyombo vyake kwa maji ya moto ukiwa na glovu...
Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Boniphace Marwa amesema Mkoa huo haufanyi vizuri katika mapokeo ya Chanjo licha ya Maambukizi kuwepo pamoja na Vifo vya Wagonjwa.
Dkt. Marwa amesema sababu zinazopelekea...
Kwa takwimu hizi za corona, naishauri serikali iweke kumbukukumbu sawa. Ianze kutoa taarifa za:-
1. Waliochanja
2. Waliolazwa na kama wamechanja au hawajachanja.
3. Waliofariki ieleweke wazi kama...
Mapokezi ya chanjo ya COVID19 nchin sio mazuri, mikoa mingi wana chanjo nyingi zimebaki na watu hawajitokezi kuchanja. Hali hii inataka nchi kujitafakari namna bora ya kuwashawishi wananchi ili...
Serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemtambua Mwanariadha Michael Filberth Nondo, mkazi wa Kigoma aliyejitolea kutembea kutoka mkoani Kigoma mpaka mkoani...
WANAWAKE wajawazito na wanaonyonyesha wametakiwa kupata chanjo ya Uviko-19 ili kuimarisha kinga za mwili za mama na mtoto kwani hazina madhara kwao.
Wanawake wajawazito ni miongoni mwa watu...
Kenya imerekodi jumla ya vifo 5,102 tangu kuingia kwa janga la Corona ambalo hadi kufikia Jumapili watu 2,534,881 walithibitishwa kupata maambukizi
Aidha, watu waliopona wamefikia 248,461 huku...
Kufunika pua na mdomo wakati wa kukohoa, kupiga chafya na kuongea kunapunguza kasi ya ueneaji wa #coronavirus.
Unashauriwa kufunika pua na mdomo kwa kitambaa safi au Kisugudi 'elbow' na kisha...
Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa na vifo vitokanavyo na COVID-19 vimeendelea kupungua ulimwenguni katika wiki iliyopita.
WHO imesema leo kuwa zaidi ya visa milioni 3.6 na...
Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19
Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.