Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kulingana na Benki ya Dunia, kati ya Watu milioni 88 hadi 115 wanasukumwa katika Umasikini kutokana na Janga la CoronaVirus, na wengi wanapatikana Nchi za Asia Kusini na Kusini mwa Jangwa la...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Visa sita kati ya kila visa saba vya ugonjwa wa korona havingunduliwi barani Afrika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema. Imefanya hesabu kulingana na fomula ambayo inaangalia vifo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani(WHO) limesema vifovinavyotokana na maradhi ya TB vimeongezeka duniani kwa kuwa juhudi nyingi zimeelekezwa kwenye #COVID19. Hadi sasa watu milioni 4.1 wanaugua TB kutoka...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeripoti kuwa chanjo ni kichochea kikuu cha kukua kwa uchumi kwa nchi zinazoendela kipindi hiki ambacho uchumi wa dunia umeathiriwa na #COVID19 Shirika hilo...
1 Reactions
6 Replies
899 Views
Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi na Walimu wanapaswa kupata elimu ya kina kuhusu chanzo, dalili, athari na namna ya kujilinda na #coronavirus. Walimu wajisimamie na wawasimamie Wanafunzi katika kuchukua tahadhari zote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AFYA YA AKILI YAKO NI MUHIMU KATIKA KUPAMBANA NA #COVID19 Shirika la Afya Ulimwenguni linaeleza kuwa afya ya akili ni miongoni mwa jambo la msingi katika kupambana na janga la #coronavirus...
2 Reactions
0 Replies
979 Views
Leo, yaani jana Jumamosi nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona. Nimeingia katika geti, nilikuwa nashangaa shangaa pale akaja mwanamke mmoja akaniuliza, "Kwani ulikuwa unataka kwenda wapi?"...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya kujihoji na kuangalia matukio na baada ya kupoteza baadhi ya marafiki kwa muda mfupi ambao Vifo vyao Ni kupoteza fahamu ghafla, presha juu, upumuaji wa shida na sukari kujitokeza na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wataalam wa History wanasema binadamu alitokana na nyani au sokwe siju miaka maelfu Kwangu hili halina ubishi maana wengi wetu hapa ukiangalia picha ya bibi yako na ukajiangalia wewe au mtoto wako...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 800,000 wapata chanjo ya Uviko-19 Wizara ya Afya imetoa takwimu hiyo leo ka zaidi ya watu laki nane wamepata Chanjo hiyo nchini. Takwimu hiyo imetolewa na katibu mkuu wa wizara ya afya
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari wana jamii Namshukuru sana Mungu mpaka sasa sijaugua corona ingawa wataalamu wanasema unaweza kuwa nayo bila kutambua kutokana na uimala wa kinga yako. Hata hivyo katika kipindi cha miaka...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Asalam-alaikhoom Wana-JF Leo 05/10/2021saa 10.10 asbh kwanza nilipokea ujumbe ukisema: "Chanjo ya corona ni salama......piga 199 Bure" Hivyo nilitaka kujua niende wapi ili kupata chanjo ya COVID...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee Ameeleza, "Hakuna...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watumishi wote wamearifiwa kuwa kesho tarehe 7. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana kutakuwa na utoaji wa Chanjo ya Uviko-19 kwa watumishi wa TBC 1 na tarehe 8. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana Chanjo hiyo...
0 Reactions
3 Replies
936 Views
Jaribio la wanasayansi kubaini dawa ya homa ya Uviko-19 linaelekea kuzaa matunda baada ya kuwapo kwa taarifa za matumaini makubwa vidonge vya ‘Molnupiravir’ kufanya kazi kwa ufanisi kutibu ugonjwa...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Leo mida hii ya swala ya adhuhuri afisa chanjo amefika msikitini tunapo swalia, nahisi atakuwa sio muislam maana kipindi tunaingia kuswali yeye alibaki nje. Baada ya swala watu wachache...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari hii iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwanachi mtandaoni ina upotoshaji mkubwa. Dawa ya molnupiravir imekuwepo kwa mda sasa ikitumika kuwasaidia wagonjwa wanasumbuliwa na maambukizi ya virusi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom