Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani? Jibu: Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa mjini Dar nikaona wageni / Wazungu sijui na waNigeria? wanahitaji huduma ya kupima korona Wakawa wanaulizia wapi wanaweza kubadili Dola wapate shilingi kwa kuwa eti pima covidi inahitaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalamu wa Afya wanaeleza kuwa nadharia zote zinazozihusisha Chanjo za #Coronavirus na kupunguza nguvu za kiume na mfumo wa uzazi kwa mwanaume sio za kweli. Aidha kutokana na tafiti mbalimbali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utoaji wa Chanjo ya #COVID19 umekuwa ukihamasishwa kona zote za Dunia huku baadhi ya Nchi zikichukua hatua za kuweka Vikwazo kwa Watu ambao hawajapata Chanjo kurudi Maofisini, kusafiri au...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu? Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo chanjo ya COVID-19. Tazama uone namna chanjo inafanya kazi na masuala mengine muhimu. Je, Vijana wanaweza kulazwa...
1 Reactions
19 Replies
19K Views
Je, chanjo zina viambato hatari na sumu? Hapana. Ingawa viambata vilivyo kwenye lebo za chanjo vinaweza kutisha, (k.m. zebaki, alumini, na formaldehyde) kwa kawaida hupatikana katika mwili...
1 Reactions
3 Replies
888 Views
Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinahimiza wajawazito wote, wanaofikiria kuwa wajawazito na wale wanaonyonyesha kupata chanjo ili kujikinga na #COVID19. Utafiti umegundua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dr. John Pombe Magufuli was right. Inachukiza na kuumiza kuongea maneno haya sababu sikuwa na upendo kwake. But Ukweli ni kuwa He was Right. COVID-19 (Wabunge wa CDM waliopo Bungeni) ilikuwa ni...
12 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari) Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima...
15 Reactions
65 Replies
7K Views
Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote? Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani imetangaza kuwa kuanzia tarehe 8 Novemba watu waliopata chanjo kwa ukamilifu kutoka nchi zote duniani wataruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa ajili ya utalii. Uamuzi huu umetangazwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Kumekuwapo maswali mbalimbali ya wanajamii wanaojaribu kujiuliza uhusiano uliopo kati ya kuchangia damu ya chanjo ya Covid-19. Watu waliochanjwa wanajiuliza kama endapo wanaweza kuambukizwa...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kimesema chanjo zenye viambata vya virusi hai (viral vector vaccines) havisababishi mtu kupata #coronavirus Chanjo hizi hutumia virusi visivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19 Kutokukaguliwa...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Ndugu zanguni hali Sasa watu wamejiziuka sana eti chanjo,waliochanja ndio wanaombukiza sana na wengi wanaugua mafua ya hapa na pale lakini kwa kuwa Kinga ya miili yetu ni zaidi kuliko wale jamaa...
2 Reactions
10 Replies
875 Views
Kumekuwa na taarifa nyingi za kupotosha kuhusu chanjo za COVID-19. Mojawapo ni uvumi kuwa chanjo za COVID-19 zinasababisaha kuibuka aina (variants) nyingine za coronavirus. Lakini je, ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom