Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa muda mrefu kumekuwa na changamoto ya miradi kuchelewa, ambapo hivi karibuni kisingizio kimekuwa ni janga la COVID19 Amesema hayo baada ya kuzindua gati namba...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali leo inatarajia kupokea chanjo aina ya Johnson & Johnson dozi 115,200 kutoka Ubelgiji ili kuchangia kuongeza kasi ya kampeni ya kuchanja. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Muungano wa chanjo ulimwenguni wa Gavi Alhamisi umesema kwamba bodi yake imeidhinisha dola milioni 155.7, kuelekea zoezi la utoaji wa chajo za kwanza za malaria kwa watoto kwenye mataifa yalioko...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Serikali Mkoani Manyara imesema inatarajia kutoa elimu ya chanjo nyumba kwa nyumba na kuwahamasisha watumishi wa afya na ndugu wanaoleta wagonjwa Hospitali ili wawe mstari wa mbele kuchanjwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The U.S. has its first confirmed case of the omicron variant of the coronavirus causing COVID-19, said Dr. Anthony Fauci, President Joe Biden's top medical adviser, during a briefing on Wednesday...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Ebhana wazee habari zenu. Nawasalimu kwa jina la JMT. Kufuatia mawimbi mbalimbali ya corona yanayozuka kila baada ya mwezi, inasemekana kwamba kirusi huyu anabadilika umbo na nguvu zake. Na kwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanabodi, Déclaration of Interest. Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje. Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA...
10 Reactions
79 Replies
10K Views
Na Pili Mwinyi Ugonjwa wa UKIMWI bado unaendelea kuwa tatizo kubwa ambalo linaathiri afya ya mamilioni ya watu duniani. Ingawa dunia imepiga hatua kubwa katika miongo ya hivi karibuni, lakini...
1 Reactions
0 Replies
683 Views
Cha kusikitisha ni kwamba, kuna habari nyingi zisizo sahihi mtandaoni kuhusu virusi vya COVID-19 na chanjo. Habari potofu wakati wa janga la kiafya zinaweza kueneza hali ya wasiwasi, hofu na...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Aina ya nne ya kirusi cha korona, Omicron kimeonekana kuwa hatari zaidi kwa kuwa na kasi kubwa ya kusambaa na kuathiri hata waliopata dozi mbili za chanjo Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha John Hopkins wanasema utengenezwaji wa haraka wa chanjo za COVID-19 haumaanishi kuwa hatua za usalama zilirukwa Teknolojia zinazotumiwa kutengeneza chanjo...
1 Reactions
2 Replies
880 Views
Katibu wa Nchi, Afya na Jamii wa Uingereza Sajid Javid amesema aina mpya ya kirusi cha #COVID19, Omicron ni kikali kuliko virusi vilivyotangulia Wataalamu wa Afya wamesema kirusi hicho kinaweza...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo...
17 Reactions
112 Replies
10K Views
Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe. Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19. Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Shirika la Afya Ulimwenguni limeweka bayana dalili tatu za hatari za #coronavirus ambazo zinahitaji uangalizi wa karibu wa wataalamu wa afya . Inaelezwa kuwa dalili hizo ni kupata tabu ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom