Ndugu zangu
kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya...
Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19.
Tukio...
Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wameitaja Dawa ya Baricitinib kutumika kutibu Wagonjwa mahututi wa COVID-19 na dawa ya Sotrovimab kutumika kwa walio na Corona isiyo kali
Dawa hizo...
Mwezi wa 9/2021 mimi nilichanjwa chanjo ya Uviko19 aina ya J&J. Baada ya kuchanjwa binafsi sijapata usumbufu wowote
Lakini kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa 12/2021 nilianza kuona mabadiliko makuu...
Moja kati ya sehemu ambayo napenda kuisoma ni RT ambao wamekuwa wakiripoti vitu kwa uhuru wote, hadi sasa ni wao ambao wanaripoti kuhusu maandamano yanayoendelea nchi za Ulaya ya watu ambao...
Hivi mpaka sasa mnaweza kunambia faida za chanjo?
Nauliza maana naona waliochomwa na wasiochomwa ni sawa tu maana kila wimbi nao tumo nao tu na kuugua kama sisi tu,ikitokea inafyeka nao...
Watafiti wa Imperial College of London wamebaini watu wenye T-Cells nyingi wana uwezekano mdogo wa kupata Corona
Wamebaini kuwa mwili unapokuwa umeathiriwa na aina nyingine ya virusi kama kwenye...
Ni miaka miwili sasa tangu virusi vya Covid vigundulike duniani na baadaye kuwa janga, lakini ni sasa ambapo uwezekano wa athari za ugonjwa huu kwa uwezo wa kuzaa wa wanaume zimefichuliwa...
Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus
Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa...
Kirusi kipya cha Omicron kilisababisha ongezeko la maambukiziImage caption: Kirusi kipya cha Omicron kilisababisha ongezeko la maambukizi
Kituo cha uchibiti na kuzuwia magonjwa cha Afrika...
Mshauri wa Masuala ya Kitabubi wa Ikulu ya Marekani, Dr. Anthony Fauci amesema tafiti za kuhusu watoto wa miezi 6 hadi miaka 5 kuoatiwa chanjo ya #COVID19 zinaendelea
Kwa sasa watoto wanaopatiwa...
Ufaransa imeripoti aina mpya kirusi cha corona ambacho ni B.1.640.2 au IHU ambacho kina mabadiliko 46
Kama Shirika la Afya Duniani (WHO) litathibitisha uwepo wa kirusi hicho kitaweza kuitwa ' Pi'...
Aina mpya ya virusi vya corona vya Omicron vinaenea kwa kasi duniani kote. Je, ni dalili gani watu wakipata wanapaswa kuchukua hatua?
Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema watu bado wanapaswa...
Polepole: Moja, Polepole yeye anasema kuwa corona ni ugonjwa uliotengenezwa na big pharma ili yapige pesa. Kuwa mabeberu wanaachana na kuvamia nchi kuiba mafuta na sasa wanatengeneza magonjwa ili...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona
Waziri Mazrui ana dalili za wazi ikiwemo homa kali na maumivu ya viungo. Amelazimika kupumzika...
Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili za COVID-19 ambazo hutokea kwa watu wachache.
Dalili hizo zinatajwa kuwa ni:
Kupata maumivu ya kichwa
Kuwashwa kooni
Kupata maumivu sehemu...
Chukueni tahadhari, hiki kitu kimebeba hadi marais...
=========
Eighty nine people have on December 24 tested positive for Covid-19 including 38 doctors and nurses at Mnazi Mmoja Referral...
(1)Hakuna Sayansi Duniani ambayo inaruhusu chanjo kwa Mtu/Watu wazima, hakuna hii kitu, Wala hakuna Sayansi ya namna hii Duniani.
(2) Kisayansi chanjo inahusu watoto, ukifosi Chanjo au...
Eneo lote huku ukanda wa pwani, ni karibu kila familia inauguza, kama sio kila mtu kuugua Mafia iliyochanganyika na homa, kchwa, kiuno n.k
Kila mtu ukimsalimu anasema anajisikia homa, sijui...
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.