Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara...
0 Reactions
3 Replies
584 Views
Wapendwa, hongereni kwa kazi. Awamu hii ilijinasibu kuwa itakuwa ikitoa taarifa za COVID-19 kila baada ya muda fulani, yaani idadi ya walioambukizwa, mahtuti nk. Lakini mpaka sasa hatujui...
0 Reactions
9 Replies
632 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini...
1 Reactions
9 Replies
37K Views
Kulingana na data za worldmeter, nimeshindwa kupata ukubwa wa corona virus kiasi cha kwamba dunia nzima imetishika sana na wanasiasa kulibeba kama ajenda yao ya kisiasa, japo inaua lakini je...
1 Reactions
3 Replies
477 Views
Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu...
0 Reactions
4 Replies
697 Views
Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa...
2 Reactions
3 Replies
524 Views
Hili limetokea Jana baada ya mama watoto kutoka kliniki. Nimeshangaa sana hili Jambo tena kwenye hii zahanati yetu ambayo tumeijenga kwa nguvu zetu wenyewe Kwanini wanahukumu mtoto kwa sababu ya...
0 Reactions
5 Replies
563 Views
Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Janga la covid19 lilishika kasi hapa kwetu Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa nne 2020 hapa ndio tahadhari zikaanza kuwekwa na serikali ikiwemo mikusanyiko na uvaaji wa barakoa. Wakati janga hili...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Naendelea kula bata Dodoma jamani. Katika kongamano la kufanya tathimini na udhibiti linalofanyika mjini Dodoma, muwakilishi wa Wizara ya Afya amesema Watanzania 800 wamefariki kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
520 Views
Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli. Kwa maneno mengine...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Inatengenezwa na Valneva, kwa kutumia teknolojia ya jadi zaidi - sawa na jinsi chanjo za polio na homa hutengenezwa. Uingereza ilipaswa kupokea dozi milioni 100 za dawa hiyo, lakini serikali...
1 Reactions
6 Replies
771 Views
Serikali imesema kuanzia Machi 5, 2022 - Aprili 3, 2022 Visa vipya 116 vya Corona vilithibitishwa kati ya watu 25,890 waliopimwa. Jumla ya Visa vya Ugonjwa huo tangu kuripotiwa kwake Machi 2020...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kasi ndogo ya chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa UVIKO-19 imemshtua Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Rashid Mfaume, na kuwahimiza wakazi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupata chanjo...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema...
1 Reactions
9 Replies
875 Views
Dunia kwa sasa imeanza kuukubali msimamo wa aliekua Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli kuhusu ugonjwa wa corona na test kits zake. Wazungu na utaalamu wao wote wanaanza kuukubali msimamo wa...
28 Reactions
58 Replies
5K Views
Wizara ya Afya imetangaza kwa kipindi cha kuanzia Februari 5 hadi Machi 4 kumekuwa na visa vipya 290, ambapo 136 walilazwa ambapo 128 kati ya waliolazwa hawakuwa wamepata chanjo. Wizara...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Idadi rasmi ya watu waliokufa kutokana na COVID-19 inakaribia kuzidi watu milioni sita, wakati ambapo janga hilo linaloingia mwaka wake wa tatu, likiwa bado halijaisha. Takwimu zilizotolewa na...
1 Reactions
2 Replies
867 Views
Wizara ya Maji imeitaka kampuni iliyopewa zabuni ya kusambaza mabomba kwenye ujenzi wa miradi ya maji Kanda ya Ziwa inayotekelezwa na Serikali kupitia fedha za Uviko 19, kuhakikisha inafikisha...
2 Reactions
2 Replies
574 Views
TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom