Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Niseme kwamba mafundi tuliojenga majengo haya ya uviko hasa madarasa tumeteswa sana na bado tunateseka sana. Kwa hii wilaya niliyopo tuliingia mkataba na serikali kujenga haya majengo...
2 Reactions
17 Replies
986 Views
Salam, Mimi nilipata chanjo ya Jenssen! Good thing sikukutana na changamoto yoyote ile zaidi ya maumivu ya kale kasindano. Na uchovu kidogo kwa saa chache sana. Hii kinga ni nzuri. Vipi ndugu...
8 Reactions
205 Replies
13K Views
Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti' Ametoa...
50 Reactions
356 Replies
37K Views
Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume. Uzinduzi huo...
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Utafiti wa kwanza kuripoti sifa zawaliougua Ugonjwa wa Virusi vya Korona(UVIKO-19) pamoja na matokeao ya tiba walizopatiwa nchini Tanzania umebaini kuwa takribani robo tatu ya wagonjwa wote ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanasayansi mkuu wa Shirika la Afya Duniani,WHO Soumya Swaminathan, amesema ulimwengu bado haujafikia mwisho wa janga la COVID-19 kwani aina zaidi za virusi vya corona zitaendelea kujitokeza...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Rwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly. Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the...
5 Reactions
136 Replies
7K Views
Na Tom Wanjala Serikali ya Kenya imesema iko mbioni kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Corona kwa Wakenya wasiopungua milioni 19 ifikapo mwezi Juni mwaka huu. Taarifa hii inakuja wakati ambapo...
1 Reactions
2 Replies
714 Views
MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuongoza kwa idadi kubwa zaidi ya waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 ukiwa na wagonjwa wapya 184 kati ya...
0 Reactions
5 Replies
710 Views
Mataifa ambayo tayari yanakabiliwa na ongezeko la umasikini, ukosefu wa usawa na migogoro yanashuhudia janga la #COVID19 likitishia zaidi miaka ya maendeleo ya kukomesha ukeketaji Shirika la...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Ninaye rafiki yangu anayesoma China ambaye yupo huko takribani miaka 3 sasa. Nilipojaribu kumuuliza kuhusu namna serikali ya China inavyofanya kuhamasisha raia wake kuchanja chanjo ya Covid, au...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Na Mwandishi wetu, Mihambwe Wauguzi wa Zahanati ya Mihambwe iliyopo Kata ya Mihambwe Tarafa ya Mihambwe wamepongezwa kwa kuongoza wa kwanza kiwilaya kwa wingi wa utoaji wa huduma ya chanjo ya...
1 Reactions
2 Replies
637 Views
CHANJO YA KORONA NI SALAMA, UKIDHARAU YATAKUPATA MADHARA, TUSIAMINI UZUSHI, TUSIKILIZE WATAALAMU WA AFYA. WAZUNGU WANGETAKA KUTUUA WANGETUUA KWENYE CHANJO ZA SURUA,POLIO NA PEPOPUNDA. Ni siku ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wakuu, Moja kwa moja kwenye mada tajwa. Ni hivi, mpaka sasa inaonekana viongozi wa mataifa yenye ushawishi pamoja na wataalamu wa afya wameona ukweli kwamba UVIKO-19 ni...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
972 Views
Kampuni ya Dawa ya Marekani Pfizer na mbia wake wa Ujerumani BioNTech zimetangaza kuanza majaribio ya maabara ya chanjo ya #COVID19 ambayo imeundwa maalumu kudhibiti Omicron Majaribio...
0 Reactions
3 Replies
774 Views
Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo. Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Viongoz au matajiri wengi wapo kwenye risk kubwa kiafya pale magonjwa yanapoingia au Hali ya hewa inapobadilika kuliko maskini. Kinyume chake yawezekana maskini ni wengi na wakipatwa na majanga...
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Back
Top Bottom