Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi? Tangu kuripotiwa...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa Covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua...
1 Reactions
4 Replies
578 Views
MBUNGE wa Rombo, mkoani Kilimanjaro, Profesa Adolf Mkenda, amewaonya wananchi kuacha mara moja tabia ya kupuuza kuchoma chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 na badala yake kuiamini serikali na wataalam...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ten months ago, the results of large clinical trials appeared almost too good to be true: Two messenger RNA vaccines reduced symptomatic Covid-19 cases by more than 90% in almost every group that...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Binafsi ni miongoni wa watu waliochoma chanjo dose ya kwanza yapata miez mi 3 sasa. Kwa upande wangu binafsi sikuwa na mategemeo ya kuchoma chanjo hii ila kulikokea...
0 Reactions
6 Replies
929 Views
Mmiliki wa kampuni ya Tesla, Elon Musk amesema kulazimisha watu kupata chanjo si sahihi Yeye amepata chanjo lakini haitakiwi kuwapotezea wengine kazi zao Suala la kulazimisha chanjo ameliita...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule...
2 Reactions
4 Replies
35K Views
Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao. Kulingana na ripoti za GOOGLE omicron lilikuwa neno lililotafutwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mganga mkuu wa Uingereza ameitangazia dunia kwamba kirusi kipya cha Corona ni kijanja kuliko kile cha delta na kinakwepa mishale ya chanjo. Mtaalamu huyo amesema jambo la muhimu kwa sasa ni kila...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ni muhimu katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Baada ya chanjo yoyote kutambulishwa, WHO hufanya kazi na watengenezaji chanjo, maafisa wa afya, kamati za...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi...
1 Reactions
6 Replies
893 Views
Marekani imeweka Tanzania katika orodha yake ya nchi hatari kusafiri, ikitoa ushauri kwa raia wake kutosafiri katika taifa hilo. Kituo cha kudhibiti magonjwa nchini Marekani (CDC) imeweka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hulka au Tabia ni jambo la kawaida kwa mtu, taasisi, watu au nchi. Kila mmoja ana yake. Tangia kuingia kwa ugonjwa huu March 2020 serikali ya Tanzania imekuwa na kigugumizi chake kuuhusu. Jana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wiki hii dunia imejikuta tena ikitamalaki baada ya kusikia aina mpya ya COVID-19 imeenea karibu katika mabara yote duniani. Mamlaka zote za afya duniani zimekuwa kwenye tahadhari kuhusu virusi...
2 Reactions
4 Replies
813 Views
Wiki hii dunia imejikuta tena ikitamalaki baada ya kusikia aina mpya ya COVID-19 imeenea karibu katika mabara yote duniani. Mamlaka zote za afya duniani zimekuwa kwenye tahadhari kuhusu virusi...
1 Reactions
2 Replies
610 Views
Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika...
0 Reactions
1 Replies
450 Views
Watu wamekuwa wakijiuliza endapo kama kuna madhara pale ambapo mtu atakunywa pombe siku au saa chache baada ya kupata chanjo ya COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema unywaji wa pombe...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Hii nchi Ina laana kama balaa bluu. Tangu juzi India inalalamika kupokea watu wao wanaorudi kutoka Tanzania wakiwa na Omicron the latest COVID-19 na walipimwa huku wakawa Negative. Nashangaa...
3 Reactions
11 Replies
928 Views
Mtu mmoja aliyerejea Delhi kutokea Tanzania amegundulika kuwa na kirusi kipya cha COVID19 cha Omicron Waziri wa Afya wa Delhi, Satyendar Jain amesema mtu huyo amlazwa katika hospitali ya LNJP...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom