Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Pfizer says its experimental pill reduces risk of hospitalization, death from Covid-19 (CNN)Drugmaker Pfizer said Friday its experimental pill designed to fight coronavirus reduced the risk of...
0 Reactions
3 Replies
607 Views
Barua inajieleza[emoji116]
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Dawa ya kwanza iliyoundwa kutibu dalili za Covid imeidhinishwa na mamlaka ya udhibiti dawa ya Uingereza. Kidonge - molnupiravir - kitatolewa mara mbili kwa siku kwa wagonjwa walio katika...
1 Reactions
4 Replies
899 Views
CHANJO YA COVID19 HAISABABISHI USUMAKU MWILINI Kituo cha CDC kinasema chanjo ya COVID19 haisababishi mwili au sehemu ya mwili iliyochomwa sindano kutengeneza nguvu ya usumaku Chanjo hizo hazina...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kinasema Chanjo za COVID-19 zimetengenezwa ili kupambana na magonjwa na hazijapandikizwa ‘microchips’ ili kufuatilia mienendo ya watu Chanjo hufanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi. CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalamu wanafafanua kuwa unapota chanjo ya Covid-19 haimaanishi kuwa kinga ya mwili dhidi ya corona inatengenezeka hapo hapo, wasisitiza watu wanaochanjwa kuwa na subira ili kuipa nafasi chanjo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni, shirika la ujasusi la Marekani lilitoa ripoti kamili kuhusu chanzo cha virusi vya Corona, ambayo ilishindwa kujibu swali kuwa ni jinsi gani virusi hivyo vya ugonjwa wa COVID-19...
0 Reactions
4 Replies
644 Views
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa. Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia...
63 Reactions
176 Replies
18K Views
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Said Mtanda ametoa maagizo kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya watumishi wake wamechanja chanjo ya COVID-19 na wasiyo chanja waeleze sababu kwani kuchanja ni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali imepokea Dozi 500,000 za Chanjo aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema mwamko wa Chanjo ni mkubwa na wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jitihada za Bara la Afrika kuwachanja Raia wake huenda zikaathiriwa na uhaba wa bomba za sindano. Shirika la UNICEF linakadiria Uhaba wa hadi Bilioni 2.2 Mkuu wa Shirika la Afya (WHO) Afrika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali imeanza mchakato wa utafiti wa kuwapima afya baadhi ya watu waliopata chanjo ya kuzuia Uviko-19 ili kujua maendeleo ya afya zao. Lengo la utafiti huo ni kubaini mwenendo wa afya za...
0 Reactions
6 Replies
984 Views
Umoja wa Afrika (AU) unakusudia kununua dozi milioni 110 za chanjo ya COVID-19 kutoka Moderna Inc katika mpango ulioratibiwa kwa sehemu na Ikulu ya Marekani, White House. Dozi hizo zitatolewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi zilizochanja sana ndizo zenye maambukizi sana!!! Mmmhhh!!🤔🤔🤔🤔 Mwandishi wa makala haya katika geopolitic dot org anauliza maswali ya msingi sana: Anasema: "Ask yourself. What is the cause...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni mwezi mmoja tu umebakia Nyumbu waende huko Ndutu na Serengeti kusini ilA hadi sasa hakuna tarehe tajwa ya kuweka kituo cha kupima corona maeneo hayo. Hivi makampuni yatauzaje wageni kama...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
WATAALAMU wa afya wamebaini baadhi ya watu waliopona UVIKO-19 wanaugua tena ugonjwa huo ndani ya muda mfupi kutokana na kurudia mswaki baada ya kupona. Kwa mujibu wa Ofisa Ufuatiliaji na Udhibiti...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Janga la Covid "litaendelea kwa mwaka zaidi ya inavyotakiwa" kwa sababu nchi masikini hazipati chanjo zinazohitajika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema. Dkt. Bruce Aylward, kiongozi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ofisini kwetu limekuja agizo kwamba wafanyakazi wote tunatakiwa kuchanja tuwe na certificate ya COVID-19. Binafsi nipo mikoa ya kanda ya ziwa huku ambako wengi hawakubaliani na chanjo...
0 Reactions
5 Replies
847 Views
VIONGOZI wa Serikali na vyama vya kisiasa nchini wameaswa kupata chanjo ya Uviko-19 hadharani, ili kuhamasisha jamii ishiriki shughuli hiyo kuliko kuchanja wenyewe bila kuonekana. Ofisa elimu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom