Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York.
Katika hotuba yake ya...
Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali
Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson
Sasa huko Tanga wanafunzi...
Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa UVIKO19 katika jimbo la Wuhan nchini China, maambukizi ya virusi hivyo yamepindukia visa milioni 200 huku zaidi ya watu milioni 4.5 wakipoteza...
Kabla ya kuendelea tafadhali piti andika linalohusu chanjo kwa ujumla Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini)
UVIKO 19 NI NINI?
Kwa Kiswahili tunaita UVIKO 19, yaani...
Ni muda sasa umepita tangu tangu janga la korona liikumbe dunia yetu.
Wengi wetu tunafahamu kuhusu historia ya ugonjwa huu; mahali ulikoanzia na namna ilivyoenea hadi ukafika hapa nchini kwetu...
Uvaaji wa barakoa ni miongoni mwa tahadhari muhimu inayosisitizwa katika kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
Wataalamu wa Afya wanahimiza usafi wa mara kwa mara katika barakoa...
MKUU wa mkoa wa Tanga, Adam Malima, amewataka watàalamu wa afya kuacha kuingiza siasa katika kupeleka elimu ya kuhamasisha chanjo ya ugonjwa wa Covid 19 kwa wananchi.
Kauli hiyo aliitoa wakati...
Corona, au uviko ni ugonjwa halisi na upo duniani kote hadi sasa umeingia hadi Alaska nchi zenye baridi sana.
Magonjwa yote yatokanayo na virusi hukabiliwa(huzuiwa) na Chanjo (vaccine) tangu enzi...
Kamisaa wa Sensa, Anne Makinda amesema baadhi ya watu wana imani potofu kuwa zoezi la uhesabu watu na makazi wanahusiana na chanjo ya #COVID19
Amesema hilo sio kweli, japo ni muhimu kwa wananchi...
UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU
Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu...
Data hazidanganyi, watu ndio wanadanganya
Tena mchana kweupe.
JImbo la Uttar Pradesh nchini India lina watu takribani 240 milioni.
Asilimia 5.8 tu ya watu wote wamepata dozi kamili
Marekani ina...
Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari.
Wataalamu...
Benki ya Dunia(WB) imesema watu wa nchi za kipato cha chini waliopata chanjo walau dozi moja ni 1.1%
Dkt. Ahmed Ogwell kutoka Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Afrika(CDC) amesema idadi ikiendelea...
HALI ya sintofahamu na mtafaruku umezuka kwenye shule ya msingi Endiamtu Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara na wanafunzi kukimbia shuleni hapo, mara baada ya gari la kubeba...
Kwa namna au sababu tofauti huweza kutokea mazingira ambayo yanaweza kumfanya mtu asahau au ukakosa chanjo yako ya pili ya Covid-19 kwa tarehe uliyopangiwa.
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa...
Kampuni ya utengenezaji chanjo ya #COVID19 ya #Marekeni ya Pfizer imesema chanjo yake ni salama kwa watoto wa umri wa miaka 5 hadi 11 baada ya kuonesha ufanisi mkubwa katika majaribio
Majaribio...
Maambukizi Barani Afrika yamefikia Milioni 8.1 hadi kufikia mwishoni mwa wiki iliyopita huku Wagonjwa waliopona wakiwa 7,454,718 na vifo 206,202
Kwa mujibu wa Kituo na Kuzuia na Kudhibiti...
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata...
TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA...
Dar es Salaam. Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, iangalie uwezekano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.