Chanjo za COVID-19 ziko salama kwa watu wengi wenye umri wa miaka 18 na zaidi, na hata wale wenye changamoto za kiafya kama vile shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari, pumu, magonjwa ya mapafu...
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe...
KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa Dar es Salaam Jumatatu...
Dar es Salaam ni kama imebeba picha ya Tanzania nzima wakati fulani ni kama pilot (case study) katika mikoa mingine.
Mkuu wa mkoa wa DSM alitangaza siku ya leo kuwa kutakua na chanjo ya UVIKO-19...
Kama tujuavyo janga la Corona linavyo shika kasi. Hata hvyo serikali yetu kwa kushindwa kufunga mipaka inaongeza muingiliano hivyo ni kweli watanzania tumeuvaa. Kwamimi binafsi na mwezi wa pili na...
Leo katika kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima asema watu wasiingilie imani ya kanisa lake, amesema kuwa kiimani wakristo na hata waislamu wanaamini pombe ni dhambi na mahubiri hutolewa...
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.
Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge...
“Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19...
Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza
Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka
1. Umekaribia kustaafu
2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa
3. Mwenye uzito...
Wakuu habari, samahan kuuliza si ujinga na kama ni ujinga basi ukinipa jibu utakuwa umenipunguzia ujinga.
Tunashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka. Iman yangu naamini tukinawa virus...
Habari zenu wana JF
Natumai mambo yanaenda vizuri ukizingatia leo ni siku ya mapumziko kwa wengi wetu.
Niende moja kwa moja kwenye mada, tar 16 mwez huu siku ya j3 nilifanya booking online...
Yapo mengi yamesemwa kuhusu usalama Chanjo za Corona, tunaendela kushuhudia hata watu wasio na ujuzi wowote wa tiba na sayansi ya madawa wakiwa mstari wa mbele kuonyesha madhara ya chanjo. Lakini...
Wakati dunia bado inahangaika na janga la corona au UVIKO19, nasi tumeona tutoe mchango wetu kwa wanaotafuta riziki kupitia biashara zao hususan wale wanaofuata bidhaa zao huko China, Uingereza...
Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai.
Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu.
Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali...
Leo kwenye mkutano huko Malawi alipoenda mama yetu raisi wetu amesema lengo ni wananchi wote wachanjwe. Sasa najiuliza ni ndani ya huu mwezi mama alisema chanjo ni hiari anayetaka atachanja na...
Najaribu ku "connect dot in order to get a big picture" kuhusu promotion za kwenda kupokea chanjo ya Covid19!!
Nimesikia mwakani kuna mpango wa kutumia sarafu ya Afrika Mashariki kama Euro...
Nikiwa napitia mada mbali mbali hapa JF, kuhusu chanjo ya covid, nimekuwa nikisoma comments mbali mbali za wadau, juu ya hii chanjo ya covid19.
Wapo wanao pinga chanjo, na wapo wanaotaka chanjo...
Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu...
Mkurugenzi wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika amezikosoa vikali nchi tajiri kwa kutoa chanjo ya tatu kwa watu ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo dhidi ya maambukizi ya virusi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.