Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam.
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya...
Limepita basi la mwendokasi hapa watu wamejaa kupitiliza yaaani wamebanana humo ndani hatari, ikumbukwe miezi karibia mitatu imepita wameleta basi mpya 70 wazilaza hazifanyi kazi
Hapo hapo...
Dr Anthony Fauci moja Kati ya madaktari na wanasayansi wakubwa katika nchi ya Marekani pia mshauri mkuu wa Raisi katika masuala ya Afya na bingwa wa magonjwa ya kuambukiza(infectious diseases) na...
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Gabriel Zakaria amezindua rasmi zoezi la chanjo ya UVIKO 19 (COVID 19) Wilayani Busega, uzinduzi uliofanyika Hospitali ya Wilaya ya Busega, huku akiwataka wananchi...
Katika wiki za hivi karibuni suala la kutafuta asili ya virusi vya Corona limekuwa likizungumzwa sana katika nchi mbalimbali duniani. Kwa bahati mbaya baadhi ya wanaolizungumzia suala hilo, kuna...
Leo nimechanjwa katika mji mmojawapo wa wilaya. Nilifanya booking online na tarehe yangu niliyochagua ilikuwa jana bahati mbaya jana hawakufungua. Nilichokiona ni:
Pamoja na kueleza kuwa nilikuwa...
Timu "chanjo Yes" iongozwe na Dr Gwajima na timu "chanjo No" iongozwe na Askofu Gwajima!
Huo mdahalo mtoto hatumwi dukani. Kuna timu moja naiona haiwezi kuthubutu kutia mguu kwenye mdahalo huo...
Umoja wa Mataifa(UN) umesema taarifa zisizo sahihi kuhusu chanjo ya #COVID19 kunarefusha muda ambao ungetumika kudhibiti maambukizi ya Corona.
UN wametoa wito kwa raia kuhakiki taarifa kabla ya...
Unajua wakati mwingine wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa tena sometimes kwa kukosa maarifa madogo tu.
Mfano halisi wa hiki ninachosema ni sisi wanadamu kutumia nguvu kubwa kuhimiza watu...
Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru.
Kirusi cha Lambda...
Mbona iliwezekana mwaka jana karibu kila duka na kila nyumba ilikuwa hukosi sanitizer nje nadhani ilisaidia sana mwamko ule wa kunawa ungeendelea Basi ingependeza sana.
Kwanza hata watoto wetu...
Arusha. Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19 .
Amesema...
Kama tunavyojua kuwa wimbi la tatu la ugonjwa wa korona linatupiga ipasavyo na japokuwa serikali inaendelea kupokea misaada ya fedha kutoka WHO na mashirika mengine lakini cha ajabu hakuna...
Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza.
Familia zangu zipo nne ambazo ni:-
Familia ya Ufufuo...
Je hii speed yakutangaza mapambano dhidi ya corona inaendana na uhalisia? Wizara makatazo yake hayapo specifiki kulingana na tatizo lilivyosambaa bali wapo general.
Unasema tusikusanyike bila...
Wiki iliyopita nilijiandikisha online kupata chanjo ya Covid Amana Hosp leo Jmosi Aug 7. Lkn nilipofika pale tuliambiwa leo hawatoi chanjo hadi J'tatu.
Baadaye jamaa alinitonya niende Aga Khan...
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona...
Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19.
Amesema picha za...
Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu.
Ona...
Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani.
Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa.
Leo covid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.