Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri...
16 Reactions
115 Replies
8K Views
Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wamepandisha bei ya Chanjo. Taarifa iliyotolewa leo na jarida ya Financial Times limesema Moderna na Pfizer wameingia mkataba mpya wa bei...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu wana Tanganyika na Zanzibar! Poleni kwa magumu tunayopitia, pia hongereni kwa zawadi ya uhai! Najua humu JF familia kubwa tunaweza shirikishana Mambo mengi, leo naomba...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko. Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19. Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT! Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema. Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa...
13 Reactions
229 Replies
16K Views
Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona, Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau, chanjo zilizopo ni chache, wastani katika mikoa 26 watakao choma ni 38400 kila mkoa Kila kituo watachoma wastani watu 1800 kumbuka kuna vituo 550 Swali ni Je, ikitokea ukachoma then...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu habari za siku nyingi, Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu. Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga...
0 Reactions
9 Replies
971 Views
Mwanzo nilipinga kuchanjwa kumbe usilolijua ni usiku wa giza, itabidi tu nikapate chanjo ili nipate kadi ya kusafiri nayo imeniuma sana huku ndio kufa kufaana.
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Hii inavutia Ni nani aliyebuni sheria tatu za msingi za COVID kutulinda? 1 - Kukaa mbali 2 - Usafi wa mikono 3 - Kutumia barakoa Sheria hizi lilipewa taifa la Israeli miaka 3,500 iliyopita...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukimwi unaua, Malaria inaua, tb inaua. Hivi vinaua mamia kila mwaka. Hamtulazimishi kuvaa condom, kuchanjwa kama kuna chanjo, kutumia chandarua... Ila hapa tu ndo wazungu mnatulazimisha.kwa nini...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
KUNA MADHARA KUCHOMA CHANJO YA CORONA MARA MBILI..? Wandugu habari za majukumu? naamini tu salama na walio wagonjwa na hofu ya yajayo kma mimi basi mwenye ezi mungu atufanyie wepesi! Mashaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Nkuruma wa Karne ya 21.;[emoji3578] Oooh Chanjo hii inafaa Sana, Ni muhimu Sana, ooh ni hiari kuvhanjwa, ooh hapana Chanjo iwe lazima, jamani haifai inamadhara; kauli lukuki zinapita katika...
1 Reactions
1 Replies
831 Views
Mwezi uliopita nikiwa jikoni naandaa chakula cha jioni kwa ajili ya familia kulitokea ubishani mkali kati yangu mimi na mwanangu Mcdonald kuhusu umuhimu wa yeye kunawa mikono akitoka kwenye...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Asema watu waende wapate kikombe amesema hakuna ugonjwa unaoshindikana kutibika kwa dawa zake alizooteshwa na Mungu. --- WAKATI Dunia ikiwa kwenye taharuki kubwa ya kupambana na maradhi ya...
3 Reactions
108 Replies
17K Views
Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ameandika Pastor Dr.Zakayo Nzogere (PhD), Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la MICC Mwanza. Pamekuwa na matamko mengi yanayokinzana kutoka kwa watumishi wa Mungu kuhusu UVIKO19. Wapo wanaosema ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom