Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Profesa Gilleard Masenga amesema mgonjwa mmoja wa #COVID19 anatumia hadi mitungi 10 kwa siku.
Hospitali ya Rufaa ya KCMC inzalisha mitungi 400 na idadi ya wagonjwa...
Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na...
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Queen Sendiga amesitisha kwa muda shughuli zote zisizo za lazima zinazohusisha mikusanyiko pamoja na makongamano yasiyo ya lazima, ikiwa ni moja ya jtihada za mkoa huo...
Salam kwenu watanzania wenzangu,
Pole kwa familia na jamii yetu kama Watanzania kwa kufiwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Nianze kwa kusema sina nia mbaya yeyote bali ni kutoa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi
Aidha...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19.
Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona.
Amesema...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watu wenye miaka 45 na kuendelea ndio ambao wanaongoza kwa kupata #COVID19.
Amekumbusha umuhimu wa kutumia njia zote kupambana na maambukizi...
Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma.
Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la...
Najua hii ni sehemu nyeti sana lakini hatunabudi kufahamishwa vizuri. Bado watanzania tupo katika mipasuko mikubwa mitatu. Sasa serikali inapaswa kuchukua hatua kabla huu ugonjwa haujashamiri...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa...
Kirusi cha Maambukizi ya #COVID19 aina ya Delta kimesambaa kwa haraka na kuyafikia Mataifa 104. Inaelezwa kuwa kimefika hata kwenye mataifa mabayo yalionekana kuanza kupunguza kwa kiasi kikubwa...
Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona...
Kila nyakati ambapo corona inavuma maeneo mengi Basi angalia mwenendo wa biashara Duniani utagundua ushindani unakuwa mkubwa Kama ni nafasi za kazi Basi hutangazwa chache na waombaji wanakuwa...
Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19.
Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19.
Ni cases nyingi kama sio zote ambazo...
Hofu hufanya kazi kupooza, inaweza kukufanya uwe mgonjwa, inaweza kuingilia kati kinga yako dhidi ya maambukizo
Wasiwasi unaweza kukufanya uwe mgonjwa, unaharibu na hudhoofisha kinga yako
HAKUNA...
Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa...
Umoja wa Mataifa umesema jumla ya watoto milioni 23 hawajapata chanjo za kawaida na hivyo kuwaweka katika hatari ya kupata surua pamoja na magonjwa mengine hatari.
Kwa mujibu wa takwimu...
Nimefanikiwa kupata chanjo ya Corona hapa napoishi na kufanya kazi Dallas, Texas. Nimepata dose mbili za sindano kwenye bega ya kwanza tarehe 5 mwezi wa pili na ya pili tarehe 4 mwezi wa tatu...
Wadau,
Kama mnavyokumbuka kuna kipindi viliibuka aina mpya za virusi vya korona vya kutoka South Africa, Brazil and UK.
Virus hivi hasa kile cha SA vilisemekana kuwa hatali zaidi na kuna baadhi...
Habari zenu wapendwa natumaini mpo wazima wa Afya,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu kuhusiano na ugonjwa wa uviko ulioanza mwanzoni mwa 2020 kwa Tanzania.
Kwanza ningependa kufafanua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.