Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5
Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine
Beta: Aina hii...
Madaktari Bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, kimekuja na mbinu tofauti na za kificho kutokana na dalili zake kuu nne.
Dalili hizo...
Mwaka 1991, Jumuiya ya Nchi Huru za Afrika (AOU) ambayo sasa inajulikana kama Umoja wa Afrika (AO), ilitangaza Juni 16 kila mwaka kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji ya...
Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza...
Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo.
Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona...
Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa.
Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020...
Wadau kama niwafatiliaji wa michuano ya mpira uefa euro 2020 inayoendelea utaona kwamba wenzetu janga hili haliwagusi watu wamejazana uwanjani na hawana barakoa kulikoni sisi huku Afrika.
Nini...
Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan.
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza...
Rwanda cancels weddings after rise in Covid-19 cases
WEDNESDAY JUNE 23 2021
Rwanda on June 21, 2021 announced fresh restrictions including a ban on weddings as it struggles to contain a surge in...
Ukifuatilia mwenendo wa ukuaji wa idadi ya watu duniani kwenye tovuti ya Worldometer World Population Clock: 7.9 Billion People (2021) - Worldometer utagundua kwamba idadi ya watu katika karne za...
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.
Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara...
Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19.
Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu...
Habari za wakati huu
Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile...
Baada ya Wizara ya Afya kutoa tahadhari ya kuwepo kwa viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid 19, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dk Shedrack Mwaibambe ameshauri Serikali kuweka...
Katika mwezi mmoja uliopita, chanjo kadhaa za COVID-19 zimeidhinishwa kwa matumizi ya jumla au ya dharura katika Mataifa ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini (MENA). Bado kuna mkanganyiko juu...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda.
Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa.
Sekretarieti ya ajira imekuwa...
Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari
Chuo hicho...
Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!
Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata...
Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.