Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

(1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed. (2) Kuna sister mmoja agemate yeye...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto...
5 Reactions
70 Replies
3K Views
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47. Lakini sijamuona akiwa ameshika kitabu chochote kile mfano Biblia. Lakini mwishoe kasema Mungu nisaidie. Kwa huku bongo viongozi wakiwa wanaapishwa kama...
1 Reactions
12 Replies
502 Views
Behemoth ni kiumbe wa KIROHO mwenye sifa ya ulafi na anakula kila kitu pasipo kukoma. Anakula watoto wakiwa tumboni, unashangaa mimba zinatoka bila ya sababu yoyote, unazaa watoto wanakufa vifo...
3 Reactions
20 Replies
508 Views
Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews). Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??.. ~ SIPENDI SIASA ~
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Nilifahamiana na N'gwasi D. Kamani kwa mara ya kwanza mwaka 2017 akiwa bado binti mbichi kabisa mwenye umri wa miaka 20/21. Yes she was just born in 1996. Nilikutana nae kwenye event moja jijini...
4 Reactions
116 Replies
7K Views
Ile disco ilikuwa inaitwa "Mbowe Disco" kabla ya kuitwa "Bilicanas". Mimi sikwenda Bilicanas hata siku moja, lakini nilikuwa nakwenda sana Mbowe Disco. Sasa huyu jamaa kanitumia msg kuniuliza...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na...
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Afrika na watu wake nawajua sana, ukitaja nchi za watu wajanja wenye akili Afrika hauwezi kuicha TZ. Katika rank mpangilio unaanza na Nigeria, SA halafu TZ inafuatia. Tupo vizuri kiuchumi...
4 Reactions
23 Replies
489 Views
Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'. Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo...
9 Reactions
102 Replies
5K Views
Unamkumbuka yule mtoto aliyeibiwa juzi kati hapa kule Pwani? Sasa habari njema ni kwamba Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro chini ya kamanda wake Alex Mkama wamethibitisha kupatikana kwa mtoto huyo...
5 Reactions
70 Replies
2K Views
Mtumishi wa Umma anapaswa Kustaafu Kwa lazima yaani Kwa mujibu wa sheria afikishapo umri wa miaka 60 na KADA nyingine miaka 65 Kustaafu Kwa hiyari ni kuanzia miaka 55 Na unaweza...
2 Reactions
5 Replies
294 Views
Habari za zenu wana JF. Leo nimeona ni share experience yangu hapo nyuma. Binafsi nimeajiriwa but private sector, baada ya kuhitimu elimu ya juu nilihangaika sana kwani nilihisi elimu yangu...
2 Reactions
30 Replies
427 Views
Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
1. Tupo hapa uwanja wa Ujamaa - Ikwiriri tukitizama bila chenga tukio kubwa duniani. 2. Asante Chama Chetu kwa kutuwekea TV kubwa hapa uwanjani bila malipo
1 Reactions
9 Replies
475 Views
Niko hapa nasikiliza Planet bongo ya East Africa radio ambayo inaruka kutoka Tumaini university. Huyu mtangazaji aitwaye February amefanya kitu cha ovyo kabisa leo, wakati anamhoji amemuuliza...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Nafikiri ipo haja ya kuwaunga kwenye grid kama bado, kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali sana ukilinganisha na gharama za umeme wa maji. Katika kipindi cha mahojiano Radio one jioni hii; Naibu...
1 Reactions
7 Replies
193 Views
Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili...
6 Reactions
7 Replies
286 Views
Hata kama ni kubunya huku mnazidisha aisee. Mbona Dom-Kondoa-Babati-Arusha barabara imejengwa standard kabisa haina mashimo kama hiyo ya Dom-Iringa?
5 Reactions
27 Replies
923 Views
Mfanyabiashara maarufu nchini Ghalib Said Mohamed ( GSM) akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa ametoa tsh million 60 kujengea dispensary ya Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma ambako ni makao...
5 Reactions
31 Replies
769 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…