Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Dini ni uhusiano wa karibu sana kati ya Mtu na mwenyezi Mungu bila kuwepo na kitu chpchote kati yako na Mungu. Uhusiano huu ndio aliokuwa nao Adam baada ya kuumbwa. Hakukuwa na Mchungaji siku...
4 Reactions
7 Replies
248 Views
Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za...
2 Reactions
3 Replies
171 Views
CCM tayari wameshabugi kwa kumchagua mgombea wao kiholela, hata kama inajulikana ni mama ndiye angekuwa mgombea, lakini nguvu ya "MCHAKATO" wenyewe ndiyo huwa inaleta mshindo mkuu huko mtaani...
1 Reactions
0 Replies
101 Views
Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani...
2 Reactions
9 Replies
457 Views
Maisha yanakufundisha nini wakati huu?
2 Reactions
26 Replies
733 Views
IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM...
41 Reactions
163 Replies
3K Views
Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao...
1 Reactions
5 Replies
231 Views
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..! Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom) Sakata la Shadrack...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Hawa wanaoajiriwa kuangalia afya wako wapi au ndio kuchaguana
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can...
11 Reactions
39 Replies
757 Views
Taka zilizokuwa zimerundikwa barabarani kwa zaidi ya siku tatu eneo la Tegeta - Kwandevu na kusababisha kero kwa waendeshaji wa vyombo vya moto sambamba na kuhatarisha afya za Wananchi umezolewa...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya...
0 Reactions
4 Replies
123 Views
Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala...
17 Reactions
124 Replies
3K Views
Freemason ni neno la kingereza ukilitea kwa lugha ya kiswahili maana yake ni "Wajenzi Huru" Art ya Freemason ukisoma article 76A na 86B zinaeleza Freemason ni kikundi cha watu ambao hukusanyika na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo...
17 Reactions
29 Replies
4K Views
Imefika kipindi tu ukifungua App ya jf basi katika mada tano za juu huwezi kosa mada ya kataa ndoa au wanawaka wanaomba sana pesa yaani hoja ya kuwaponda wanawake kuwa ni omba omba huwezi ikosa...
10 Reactions
46 Replies
1K Views
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito? Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya...
16 Reactions
78 Replies
1K Views
Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha
1 Reactions
9 Replies
283 Views
Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu...
2 Reactions
6 Replies
409 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…