Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja. Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee...
1 Reactions
11 Replies
357 Views
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo...
3 Reactions
12 Replies
411 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya...
22 Reactions
207 Replies
8K Views
Kwa mfano huyu anaambia watu watembee juani na wanywe maji yenye chumvi bila kutoa sababu zozote za kisayansi kisa tu ni mtu wa mazoezi. Huu ni upotoshaji wa makusudi unaoweza kuleta madhara kwa...
6 Reactions
25 Replies
566 Views
Unaweza kuzungukwa na watu 1000 na katika watu hao asiwepo hata mmoja ambae atakuwa rafiki na mtu wa kweli, tumezungukwa na watu wengi na wapo kwenye maisha yetu kwa sababu wanajua kupitia wewe...
3 Reactions
4 Replies
290 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni...
2 Reactions
15 Replies
321 Views
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
18 Reactions
139 Replies
3K Views
Ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa. Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda. Hata sisi...
21 Reactions
209 Replies
4K Views
Nawashauri watokee wanachama wa TLS wajitokeze hadharani kumkosoa Rais WA TLS wa sasa ili tuone nini kitatokea. Naandika hivyo kwa sababu yeye mkosoaji mkubwa wa viongozi wa chadema waliopo...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Hilo ndilo amesema kiongozi wetu leo kwenye Jumuiya akituonya kuacha dhambi kwasababu nyakati hizi zinafanana na zile za Sodoma na Gomora
1 Reactions
21 Replies
527 Views
Salamu ndio zilia la Amani Bob marley-Revolution kama mwanzo wa ngoma,Hapo Jana na leo Kwenu uhuru ni ule mtawaza.Kama ni kuwa ni mstakabali wa uendelevu wa maisha ya wenzenu kwa matokeo bora ya...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Kusoma Nje ya Nchi: Is It Worth it? If you have traveled out to obtain another degree, could you please share your experience around the points below: - What major difference did you notice in...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi. Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia. Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?. Soma Pia...
4 Reactions
18 Replies
586 Views
Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo...
10 Reactions
49 Replies
1K Views
Still D.R.E Yeah, nigga I'm still fucking with you Still waters run deep Still Snoop Dogg and D-R-E, '99 nigga Guess who's back? Still, doing that shit Andre? (Oh for sho', check me out) It's...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
HATUA YA KWANZA MAOMBI YA MWANZO Je mteja anaweza kuchukua fomu ofisi yeyote ya tanesco? Mteja anaweza kuchukua fomu ya maombi ya umeme katika ofisi yeyote ya shirika bila kujali kuwa eneo hilo...
47 Reactions
370 Replies
131K Views
Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Amini usiamini.., 'limwengu' zipo nyingi kupindukia.., infact idadi yake haina mwisho! na katika kila 'limwengu' kuna dunia kama hii.., na katika kila dunia wewe upo. For instance.., katika...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
VACANCY Chief Imam is needed at One Mosque in Scotland, United Kingdom. Requirements: 1. You must have 60hizb of the Holy Qur'an. 2. You must have knowledge of Fiqh, Hadith, Sira, and other...
4 Reactions
38 Replies
950 Views
Utangulizi Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na...
6 Reactions
38 Replies
835 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…