Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata...
33 Reactions
409 Replies
29K Views
Wadau hamjamboni nyote Wanayoyafanya yalishatabiriwa siku nyingi, Biblia takatifu haisemi uongo hata siku moja Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Tumsifu Yesu Kristo
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him...
2 Reactions
0 Replies
127 Views
Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran. Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo...
4 Reactions
10 Replies
334 Views
Niaje niaje, lengo la uzi wangu sio kubishana na mamlaka za serikali bali naomba kupata ufafanuzi. Nimelileta hapa jukwaani suala la DCC kukamata vile vitoyo vya kuchaji na kuvipiga faini kwa...
0 Reactions
7 Replies
224 Views
Kama mtu aliomba kitambulisho chake akiwa Kigoma halafu akahamia Dar es Salaam atafanye kupata kitambulisho chake kutoka Kigoma?
0 Reactions
6 Replies
122 Views
Anonymous
Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku...
1 Reactions
2 Replies
390 Views
Habari za Jioni naona wimbi la vijana miaka 35- ndio wengi wanakuwa Vichaa au Changamoto ya Afya Akili Shida hasa ni nini
2 Reactions
38 Replies
960 Views
Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala...
3 Reactions
5 Replies
346 Views
Habari za asubuhi wanajamii Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
2 Reactions
12 Replies
298 Views
Tarehe 04 / 01 / 2025 nilienda Zahanati flani hapa mjini, ni ya Serikali baada ya kuwa sijiskii vizuri, nikapewa dawa kadhaa na panadol. Leo jioni kichwa kikawa kinauma sana, nikasema nimeze...
6 Reactions
39 Replies
656 Views
Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko...
0 Reactions
7 Replies
293 Views
Tafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani. Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi. Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa...
7 Reactions
24 Replies
590 Views
🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake...
5 Reactions
19 Replies
518 Views
Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM...
0 Reactions
3 Replies
96 Views
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
15 Reactions
79 Replies
12K Views
Huyo mtangazaji wa tbc ni mbunifu sana,na ndio maana huwa anachukua tuzo ya mtangazaji bora afrka
3 Reactions
18 Replies
520 Views
Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa...
0 Reactions
2 Replies
159 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…