Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu...
Kweli sijui kama TTCL wanajielewa aisee. Unapopita maeneo mengi yenye mazingira mazuri na yaliyopendeza, unakutana na nyaya za TTCL zilizopita hovyohovyo, nyingine zikiwa zinaning'inia chini, huku...
WANANGU WOTE
ZINGATIENI
ELIMU KWA MAANA ELIMU NDIYO MAISHA YENU MAZURI YA KESHO YENU
KUIKOSA ELIMU NI MATESO KWA MAISHA YENU YA KESHO.
Tukisoma Kitabu Cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu uk 148...
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen.
Tedros Adhanom...
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Afrika Kusini wamegoma baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa kutokana na shirika hilo lenye ndege zaidi ya 40 na vituo (destinations) zaidi ya 42 duniani...
Kwanzia mwaka huu 2025 dunia itashuhudia mambo mengi ya kutikisa akili, kusisimua na ya maajabu mbele ya macho yetu
Kwenye upande wa medicines, technology, uongozi, kutakua na uwezekano usio na...
Mimi ni Mtanzania ninayeuamini Utanzania wangu na kuiamini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005, ibara 08(1) a, b, c, d.
Naiamini ilani ya CCM 2020–2025:
Ukurasa wa 01...
South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Dar*JNIA 0510am kufika OR Tambo International Airport 0755am.
Timing nzuri (unatoka alfajiri straight to business meetings ,shopping)
Bye...
ADABU ZILIZOKOSEKANA
Siku hizi kutangaza makosa ya watu au tuliyoyafanya limekuwa si jambo la kuogopwa tena
Tumekuwa rahisi kuharibu heshima za watu..
Tumekuwa wa rahisi wa kukosoa watu ...
Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi...
Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR.
PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi.
KWA...
Bodaboda ni sekta rasmi Kwa Sasa.
Ni dharau kubwa Kwa bodaboda ambao kwasasa wapo zaidi ya watu million 10 hawa watu wote kila mtu akilipa elfu 10 Kwa mwaka ni pesa ndefu
Kulipa Kodi ni jukumu...
MWEKEZAJI kwenye Shamba la VASSO lililopo kijiji cha Dakau wilaya ya Moshi vijijini, Fons Nijenhuis(73) raia wa Uholanzi, amedai kufukuzwa kwenye shamba hilo na watu wasiojulikana huku kundi kubwa...
Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi...
Habari zenu wana JF
Niliwahi kuandika juu ya suala ya usafirishaji kwenye majiji yetu yote. Nilikwenda mbali zaidi kwamba inafika wakati sio bisahara tena bali ni huduma.
Serikali yetu...