Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

TanRoads Rukwa hebu kueni na consistency kwenye specifications zenu. Inakuaje Taa Mpya mlizofunga Sumbawanga Mjini na Kijiji Cha Chala na Kaengesa huko hazitoki Mwanga wa kutosha muda wa usiku...
3 Reactions
21 Replies
441 Views
Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo. Maria amesema...
-1 Reactions
1 Replies
185 Views
Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu...
23 Reactions
154 Replies
3K Views
Maelezo ya Malalamiko: Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits)...
1 Reactions
2 Replies
268 Views
Nianze kwa salaam Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Naona kuna raia wanasema umpeleke kituo cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa...
2 Reactions
18 Replies
458 Views
Wanaume wengi wakifikisha miaka kuanzia 45 hadi 65 (miaka ya husda na fitina) wana anza kua na roho mbaya bila kua na sababu za msingi kisa wenyewe wamekosea maisha nakushindwa kupata ndoto zao za...
2 Reactions
4 Replies
234 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa. Mwanachama huyo...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13...
1 Reactions
5 Replies
337 Views
๐—•๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฎ ๐—จ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ. ๐—•๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ๐—ธ๐—ถ, ๐—ฏ๐—ฎ๐—ท๐—ฎ๐—ท๐—ถ, ๐—ป๐—ฎ ๐—ด๐˜‚๐˜๐—ฎ Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
โ€œNatoa wiki moja kuanzia tarehe 13 Januari 2025 Wazazi na walezi hakikisheni wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo katika Wilaya ya Mufindi wanaenda Shuleni, tarehe 20Januari, siku ya...
1 Reactions
0 Replies
97 Views
Yesu alisema ukifunga jiweke uso wako vizuri kwa mafuta ili mtu asijue unafunga. Ni dhahiri kwa mafundisho yake funga ya mkristo ni suala binafsi na ni siri ya anayefunga. Vipi leo haya maredio...
2 Reactions
5 Replies
234 Views
Hii ni true story ya mpangaji wa bibi yangu pale ilala kota,naandika uzi huu kama hamasa kwa wapambanaji wote kwamba ukiweka malengo na kuishi nayo hakika utafika pale unapotaka kufika Mpangaji...
17 Reactions
57 Replies
2K Views
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za...
44 Reactions
885 Replies
123K Views
Mwenzie mmja wa Ghana , BBC iliripoti kwamba Kwa umri wa miaka 15 tayari ni mrefu kushinda vipimo vyote na anazidi kuendelea kukua ambapo Utafiti ulionesha bila.kufa yiwa vipimo anaweza kuwa kama...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine...
3 Reactions
8 Replies
353 Views
Waungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya...
9 Reactions
390 Replies
48K Views
Sote tunatambua kuwa EWURA wamezuia mafuta ya petrol na Diesel kuuzwa kwenye madumu. Swali langu kwa wale watu ambao wana mashine zinazojienndesha kwa kutumia hiyo nishati watafanyaje? Kwa mfano...
1 Reactions
5 Replies
372 Views
Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa. Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia? Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya...
0 Reactions
8 Replies
441 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ