Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni...
Nimemaliza chuo kikuu cha st John's Dodoma (st.John’s university of Tanzania ) intake ya 2014/2017 fani ya maabara kwa ngazi ya stashahada(diploma in Medical laboratory ).
Licha ya kuwa nimepata...
Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno.
Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua.
Pia soma:
- DAWASA kwanini mmeshindwa...
Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani?
Iko hivi, juzi umeme kwangu...
Watumishi wa Afya akiwemo Daktari Mbobevu, Maafisa Wauguzi na Wateknolojia wa Maabara wanaidai Hospital ya Rufaa Peramiho iliyopo mkoani Ruvuma mishahara yao ya mwezi Septemba.
Kama chombo cha...
Hizi taa za kuongoze magari zilizopo maeneo ya Kituo cha Magari cha Nata hapa Mwanza ni changamoto kubwa, hazifanyi kazi na zimekuwa zikisababisha foleni zisizo na sababu.
Eneo hilo limekuwa...
Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma inapaswa kuweka alama za ufaulu (passmark) kabla ya mitihani kufanyika. Hiki kimekuwa kilio cha watanzania wengi sana .
Sekretarieti ya ajira katika...
Mimi ni mtumiaji wa huduma za internet za kulipia kwa mwezi,watoa huduma wengi wamekuwa si wakweli na mara nyingi hawatoi kile wanachokiahidi kwa wateja.
Mimi ni mhanga wa halotel wiki nzima...
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima.
Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili...
Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja...
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye...
Salaam
Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki.
Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu...
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza...
Habari za wakati huu? Mimi ni mdau wa JamiiForums lakin pia ni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), campus ya Dar
Kuna kero inanisumbua sana kwa uongozi wa IFM, hadi sasa hivi chuo...
Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri.
Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha...
Natokea wilaya ya Chato kata ya Bwanga mkoa wa Geita.
Kuna kitu kinaniuma sana kila mwaka MWENGE wa Uhuru ukikaribia kupita kuna kuwa na michango ambayo wanakuwa wanaombwa akina mama Wanaouza...
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu.
Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.