Sisi wakazi wa Chanika Taliani kuelekea PSSSF, barabara zetu zimekuwa mbovu sana.
Mkandarasi alikuja na kuchakachua kupitisha grader kwa juu tu, ametimua vumbi na kukimbia badala ya kutengeneza...
Wakuu,
Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami...
Katika shirika linaloshangaza ni dawasco maji wanatoa siku moja au mbili kwa week lakin bado nako kumewashinda je wangetakiwa kutoa maji 24/7 kama wafanyavyo miji mingine
Napokaa hapa maji mara...
Habarini wanajukwaa...
Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida.
Kama wananchi hatupingani...
Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza...
Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea
JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni...
Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho...
Dodoma ni Jiji linalokuwa kwa kasi sana na ni Mji wa Kiserikali kama ilivyo kwa Lagos, Nigeria na Pretoria, Afrika Kusini.
Kero mojawapo kubwa ambayo inakera kweli kweli ni kutopatikana kwa maji...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya...
Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga.
Maeneo...
Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo...
Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila...
Mtandao wa tiGO ukanda wa Mbeya Kyela umekuwa na changamoto sana takriban wiki mbili sasa kuanzia muda wa saa mbili usiku, changamoto hii ni simu kupatikana kwa shida, kutosikilizana vizuri na...
Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani.
Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na...
Wahudumu wa zahanati ya Msoga hasa baadhi ya madaktari hawako serious na wagonjwa, Leo nimefika kutibiwa hospitalini hapo kilichotokea ni kwamba wagonjwa wote tulipoingia chumba cha Daktari...
Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui.
1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa...
Mnamo mwezi Agosti kuliibuka tetesi kwamba kutakuwa na kupunguzwa kwa wafanyakazi katika mgodi wa Williamson Diamonds Limited uliopo katika umiliki wa Petra Group kutokana na sababu za kushuka kwa...
Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA.
Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili...
Kumekuwepo na usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanautumia huduma za mabasi ya mwendokasi. Abiria anapokata tiketi anaambiwa hakuna chenji asubiri mpaka itakapopatikana, hii ni sawa kweli? Huduma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.