Maji hayatoki, pia wakala wa huduma za nishati na umeme vijijini hawatoi majibu ya kueleweka kuhusu wananchi ambao bado hawajapata huduma ya umeme, walifanya survey mwezi Machi mpaka sasa Septemba...
Kama mkazi wa mtaa wa Msisiri A, nyuma ya Mahakama ya Kinondoni, nimesikitishwa mno kuona idadi kubwa ya vijana wadogo wakijihusisha na uvutaji wa bangi maeneo ya wazi. Wanavuta bila hofu, bila...
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.
Afu eti imagine kwa...
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili...
Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III.
Kwanza, kaka aliyekuwa pale...
Nikiwa mkazi wa mwanza na mdau wa bank ya NMB sijaridhishwa na zoezi linaloendelea la kuboresha taarifa za wateja wa bank hii.
Tangu mwezi wa 7 bank ya NMB katika matawi yake ya Mwanza imekua...
Wakuu
Huku Mbweni Mpiji maeneo ya Ungindoni wakiwa na sherehe zao za vigodoro ni kero kubwa, wanakesha usiku kucha na mziki ni mkubwa kiasi kwamba ni changamoto hata kupata usingizi. Mbali na...
Sijui hata cha kusema!
Lakini masikitiko yangu matokeo ya ufungaji wa taa za barabari Kilwa road na Chang'ombe road yanaenda kuibua kero kubwa ya msongamano wa magari kuliko ilivyo hata hivi...
Nina suala ambalo ninaona limewanyanyasa Watanzania wengi ingawa kwangu lilinitokea mwaka 2016. Watanzania wamekuwa wakitumia mtandao mbalimbali ya simu ikiwemo vodacom, halotel, tigo na...
Mimi ni mdau mzuri wa mwendokasi kutoka Kibaha Stendi hadi mjini Posta, nimesikitishwa sana kuona huduma hii kusitishwa bila notisi wala matangazo rasmi (huenda yalikwepo ila mimi sijayaona).
Kwa...
Kulingana usaili unaoendelea wa idara ya Afya kupitia PSPR mikoani.
Kumekuwa na hali isiyo ya uwazi katika kutenda haki ili kupata wasailiwa wenye vigezo vya kuajiriwa.
Kwanza katika mchakato...
Trafiki ametushusha Abiria wote kwenye daladala, hajatupa usafiri mwingine kisa gari inadaiwa na Konda kamwambia “Hii trip ya kwanza, nitakuungia baadaye”
Huyu Askari namba zake za kifuani ni...
Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti
Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo...
Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi...
Kuna shimo barabarani kwenda Masaki eneo la fitness na lake oil na mbele yake kuna tuta. Inakuwa changamoto kwa watumiaji wa barabara hii hasa magari yakikutana kupishana ni changamoto.
Kero
Tafadhari husika na kichwa tajwa hapo juu,
Mie ni mdau wa huduma za kifedha kutoka kwa makampuni mengi yanayotoa huduma hizo kila siku na ninafanya biashara.
Naomba kufikisha/ kusema/...
Matapel kila siku wanapiga simu na kudai ni watoa huduma kwa wateja na ukiwasanukia wanatukana sana matusi mabaya na ya nguoni, kama umekaa na watu wako au familia yako inakuwa ni aibu na inaleta...
Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi.
Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours...
Habari,
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma.
Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.