Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja...
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu...
Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina...
Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa...
Katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani 2024.
Tuitumia wiki hii kuwalinda watu wanaotembea kwa miguu katika njia maalumu zilizotengenezwa kwa ajili ya wao kutembea kwa uhuru...
Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza...
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi...
Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo.
Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara)...
MDAU
Traffick Mkoa wa Pwani mnalitia aibu Jeshi la Polisi, mnajipanga barabarani kila kituo cha daladala mnachukua buku (1,000) za madereva wa daladala.
Mnakaa kituo cha Kiluvya madukani...
Hospitali ya TIBA (zamanı TUMAINI) iliopo Upanga jirani na Diamond Jubilee haichukui wagonjwa wanaotumia bima ya NHIF wiki moja sasa.
Wagonjwa wanarudishwa nyumbani na wengine wanaambiwa walipe...
Aisee nakereka sana na upuuzi wao wa kufungia line yani miezi mitatu tu unakuta line yako kapewa mtu mwingine
Yani kwenye dunia hii ya leo yenye maendeleo kadha wa kadha ambapo mtu anaweza...
Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao.
Idara za masoko za makampuni ya kukopesha...
Hivi kuwaita wateja na huduma kwa wateja wenu wamezidiwa, tunaweka foleni kama kitu gani wengine wagonjwa. Kwanini isiwe madawati kila mahali hadi kwenye vituo kupunguza foleni. Foleni kubwa sana...
Jaman hii shida iko mkoa wa Tanga wilaya ya Kilindi kijiji cha Masagalu kata ya Masagalu, wanawake wanaumia kwa ukosefu wa maji, maji yenyewe ni ya shida na yako mbali. Hivi hawa viongozi...
Mwanangu yuko katika hatua za kuomba nafasi chuoni mwaka huu, lakini anapata usumbufu mkubwa kubadilisha majina kwenye cheti chake cha kuzaliwa ili yaendane na yale yaliyo kwenye vyeti vya shule...
Juzi nilijaaliwa kuingia jijini Mwanza sasa leo nikaona nitoke nilifahamu japo kidogo jiji hili! Hakika kwa ujenzi wa SGR nimeshuhudia unaendelea lakini pia nimependa kuona ujenzi wa soko kuu japo...
Mamlaka ya Jiji la Dar es Salaam hailipi mishahara kwa waajiriwa wake kwa wakati, kwa mfano mshahara wa mwezi May ulilipwa tar 06.0.6.24,Wa Mwezi June ulilipwa tar 02.08.24 mwezi July haujalipwa...
Hii barabara imeanza kujengwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hadi leo hata haijafikia asilimia 30. Tangu ianze ina kandarasi zaidi ya ya 4, ni nini hasa kinafanya hii barabara isimalizike...
Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka...
Habari JamiiForums, naleta kwenu malalamiko yangu labda wakiyaona kutokea hapa ni
Mimi ni mpiga picha, nimejiajiri kwenye kizi hii na ndio inayoniingizia kipato. Sasa nilikuwa nimeweka camera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.