Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakazi wa Vikunai kata ya Toangoma, wilayani Temeke usafiri wetu umekuwa ni wa kubahatisa na nauli zake hazieleweki. Kwa mfano kuna ruti za Vikunai - Stesheni via Kijichi na ruti ya Vikunai...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala. Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo...
1 Reactions
4 Replies
441 Views
Vijana wa kata ya kalobe wamejikuta katika hali ya mshangao baada ya uwanja wao wa mazoezi kufanywa njia mbadala ya kupitia magari na vyombo vingine. Hali hii imewafanya vijana awa kushindwa...
0 Reactions
2 Replies
222 Views
Anonymous
Wakuu Naomba mnisaidie kupaza sauti kwa Serikali ifanye marekebisho kwenye reli ya Tabora-Mpanda hali ni mbaya mno, Yaani treni imekuwa na huduma za Hovyo Mno, unaandikiwa kwenye ticket treni...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Anonymous
Maelezo ya Tatizo: Ndugu wanajamii, napenda kufichua tatizo kubwa linaloendelea hapa Mbezi Beach-Jogoo barabara ya Kerai (kwa Mzee Temu) ambapo baa moja imekuwa ikipiga muziki mkubwa mno usiku...
5 Reactions
10 Replies
482 Views
Anonymous
Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei...
2 Reactions
3 Replies
455 Views
Licha taarifa ya baadhi ya viongozi wa Serikali ngazi za juu kusisitiza Wanafunzi wa Shule za Serikali wasirejeshwe nyumbani kutokana na kukosa kuchangia michango, hali ni tofauti kwenye ya Shule...
1 Reactions
1 Replies
735 Views
Hivi ishu ya baa kupiga muziki wa hali ya juu mpaka kunakucha huwa inasuluhishwa na mamlaka gani katika eneo husika kwa uharaka na bila kujulikana?
2 Reactions
23 Replies
882 Views
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania! Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
18 Reactions
186 Replies
7K Views
Hapa chini ni nyaraka zenye taarifa binafsi za mtu ambaye anaonekana aliomba nafasi ya kazi mahali fulani, lakini baada ya nyaraka zake kuisha kuisha umuhimu wakazitelekeza kiholela. Sijui waliuza...
0 Reactions
4 Replies
474 Views
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu. Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana. Pension hizi huwafaa wastaafu katika...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Anonymous
NACTE Dar es Salaam wana huduma mbovu sana, ukipiga simu hawapokei haswa customer care unaweza kuwapigia hata mwezi bila kupokea simu, pia hata ukifika ofisini kwao wapo bize na mambo yao tu.
0 Reactions
2 Replies
175 Views
Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums, Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Anonymous
Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na...
1 Reactions
4 Replies
271 Views
wakuu wikiendi inaenda? Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho. Sasa kwanini...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
323 Views
Anonymous (1fdd)
Kabla ya nauli kupandishwa mwishoni mwa mwaka jana nauli ya daladala kutoka Kivule fremu 10 hadi Banana ilikuwa 500/=. Baada ya serikali kupandisha nauli toka 500/= kwenda 600/= daladala za huku...
0 Reactions
5 Replies
422 Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy nimemaliza toka Februari mwaka huu. Natamani sana kuomba chuo, pia natamani sana kuomba mkopo lakini mpaka sasa chuo kimetuangusha...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu. Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie...
25 Reactions
136 Replies
3K Views
Back
Top Bottom