Mataa ya barabara ya Iringa - Morogoro ni mabovu, huwa muda mwingi yamezima na ni hatari. Vyombo vya usafiri vinapita kwa kuviziana. Magari, pikipiki na bajaj ajali nyingi zinatokea.
Mamlaka...
Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na...
Habari ya leo wadau.
Salamu kwa Rais Samia.
Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani.
Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340...
Watoto mnawalazimisha kwenda mpaka Jumapili wasipokuja mnawachapa.
Jumamosi na Jumapili watoto wanaenda ibadani nyinyi mnawaza kufundisha tuu sijui akili zenu zikoje. Tafuteni kazi nyingine nje...
DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa...
Nimelipa Elfu 2 kwenye N-CARD nimwekewa 1900Tsh eti kuna makato ya Tsh 100. Hii inatokea kwa wengine imekubalika pale ferry.
N-Card ni platform ya malipo ya serikali kwa faida ya serikali...
Hawa ni Watanzania wanaidai Kampuni ya Insurance Group of Tanzania, wiki iliyopita walitumia siku tatu kushinda na kulala katika ofisi za kampuni hiyo kutaka kulipwa madai yao wanayodai ofisi hiyo...
RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na...
Kumekuwa na vituo vingi vyenye askari barabara ya Kigamboni-Mkuranga na kila kituo askari wanadai kupatiwa shilingi elfu mbili. Mpaka siku inaisha tunakua tumepoteza kiwango kikubwa tu cha pesa...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi?
Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke...
Taasisi za Umma kama NACTVET Wamekuwa na tabia ya kupandisha bei za huduma bila sababu na hawatoi taarifa hivi karibuni.
NACTE wamepandisha huduma ya ACADEMIC TRANSCRIPT kutoka elfu 15 kwa...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki .
Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama.
Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa...
Hii kitu inanikera sana na inaniacha na maswali mengi. Hii hasa ipo kwa magari ya Kawe pale karibu na kituo cha Jeshini, na njia ya kwenda Makumbusho kutokea Kinondoni Studio karibu na kituo cha...
UTANGULIZI
Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi.
HISTORIA YA ENEO
Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo...
Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na...
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua
Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.