Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo...
1 Reactions
6 Replies
362 Views
Anonymous
Mimi ni mwalimu nimeajiriwa mwaka 2014. Pamoja na kuwa ni mujibu wa sheria mtumishi kupanda daraja Kila baada ya miaka mitatu, sisi hatukupanda hata baada ya miaka 7, tulidhulumiwa madaraja...
2 Reactions
12 Replies
679 Views
Kumekua na tabia ya idara za maji Tanzania, hasa MWANZA kutoa huduma ya maji saa nane au saa tisa za usiku. Wananchi hawana maji siku 4 hadi siku 9, na siku mkiamua kuwapa maji basi ni usiku wa...
1 Reactions
4 Replies
453 Views
Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni. Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
Barabara za jijini Dodoma inaonekana hazifanyiwi ushafi wowote maana hata ukipita barabara ya lami vumbi lake ni sawa na alitepita barabara ya vumbi tu. Najiuliza hizi uongozi wa jiji unashindwa...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Wanafunzi wa chuo Kikuu Dar Es Salaam wanaoishi COICT hostel wamekuwa wakilalamika juu ya msimamizi wao wa hostel kuwa amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kutoa kauli chafu na kutishia kuwa...
1 Reactions
11 Replies
572 Views
Anonymous
Sio tu serikali inaweza kujua matatizo yote kupitia kwenye mitandao ya jamii ila nimekutana na huyu anajiita sheik zaid makubul kuhusu maada za kibaguzi na makabari. Kwako waziri Doroth gwajima...
-1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, hivi Viongozi wa Kawe wanatuchukuliaje tunaotumia Kituo cha Daladala Kawe? Kituo halifanyiwi matengenezo yoyote wakati kila siku watoza ushuru wanachukua Tsh. 1,000 kwa kila Daladala...
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Gaweni kikanda Tanzania bara ni pakubwa sana, mnategemea mtu kutoka Kagera aje Dar kwenye usaili? Mtu kutoka Mbeya huko aje Dar kwenye usaili? Tumieni hekima na busara gaweni kikanda wekeni usawa...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Anonymous
Habari, Mabanda ya kuchezesha video games kwa watoto yamezidi. Upi mpango wa Serikali kunusuru hiki kizazi?
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30...
2 Reactions
8 Replies
370 Views
Anonymous
Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi. Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza...
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Anonymous
Naomba utusaidie nikiwakilisha watanzania wengi wanaopata changamoto kama mimi juu ya huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usajili wa Vizazi na Vifo (RITA). Mimi nimeomba uhakiki wa cheti cha mtoto...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Jana mheshimiwa Rais Samia amezindua rasmi Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambayo Ina majukumu ya Kulinda na kutunza faragha za watu. Sasa Kuna mtindo umezuka ambapo Online Creditors Wamekuwa...
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Anonymous
Kumekuwa na zoezi la kuzuia wanafunzi kufanya mitihani ilhali wamemaliza ada huku wakidai yakuwa mitihani hiyo inabidi ilipiwe fedha ambayo haijaorodheshwa kwenye fomu na si halali kwani, matumizi...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Taa za boda zinazo badilikabadilika rangi zimekuwa kero na usumbufu kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa vyombo vya moto. Likini pia taa hizo ni hatari sana kwa watu wenye tatizo la...
2 Reactions
1 Replies
329 Views
Kange ni mtaa unaokua kwa kasi sana mkoani Tanga, wilaya ya Tanga mjini. Miaka michache mbeleni, vitega uchumi vingi vitahamia Kange kutokana na idadi ya watu wanaohamia kuongezeka kwa haraka...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Anonymous
Hawa watu wanakusanya kila nyumba Elfu 2000/= kwa taka na Ulinzi lakini cha ajabu wakifika nyumba yenye wapangaji wanakusanya kila chumba 2,000/= swali langu kwa mamlaka husika je inakuwa ni haki...
0 Reactions
6 Replies
324 Views
Nimelipia gharama za kuunganishwa na umeme toka mwezi February mwaka huu. Nimejisomba sana kwenda Tanesco kila leo mpaka sasa nimechoka. Nilipohamia kwenye nyumba nimepata tabu sana mwanzoni...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Anonymous
Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao...
0 Reactions
2 Replies
212 Views
Back
Top Bottom