Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo:
Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa.
Majina ya Baba...
Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi...
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo...
Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia.
Inasikitisha sana yaani hii...
Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika bar maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi...
Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini.
Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾
Pia soma
- Kero ya maji...
Jamii Forums habari,
Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna...
Naandika hii kwa masikitiko sana kwani tangu tumekuwa tukiripoti yanayojiri shule ya msingi Mugundu ilioko wilaya ya Iramba kata ya Kyengege mkoani Singida hakuna hatua yoyote inayochukuliwa...
Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa...
Kuna wakati kila binadamu anapochukua hatua kwenda hospital kwenda kufanyiwa upasuaji Fulani uwe uvimbe mwilini au kitu kingine hpo ameamua Kwa dhati kuwaamini wataalamu ssa wakamponye ugonjwa Kwa...
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama...
Wasalam mabibi na mababu,
Yaani huwa nashangaa hii kero ya maji iliyopo Mkata - Handen, yani maji ni shida balaa ukiangalia huu mji tayari una Halmashauri, tayari una hospital ya wilaya Kitendo...
Wakuu,
Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi...
Habari wadau!!
Nimeona leo tujadili hili suala ambalo kadri siku zinavyozidi linazidi kuota mizizi, kumekua na udanganyifu mkubwa sana katika hizi Hospitali binafsi hasa zile zinajinasibu kutoa...
Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi.
Ukweli ni...
Kwa muda mrefu sasa mto Nyakasangwe unaotenganisha wilaya ya Ubungo kata ya Msumi na Kinondoni kata ya Mabwepande kumekuwq na uchimbaji holela wa mchanga.
Mara kadhaa wanachi kwa kushirikiana na...
Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na...
MWANAFUNZI ALIYEPATA AJALI UWANJA WA TAIFA ATELEKEZWA BILA MSAADA WA UVCCM ..!
Mwanafunzi Emmanuel Jackson Malima mwenye umri wa miaka 17 anayesoma kidato cha nne (Form IV) Shule ya sekondari ya...
Taasisi ya North Mara community trust fund. Iliyopo wilayani Tarime kuna mambo yanayoendelea yasiyo ya haki hasa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali walio chini ya mpango wa maendeleo endelevu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.