Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Wakazi wa mwanza, wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa maji yamekuwa ni changamoto sana, tuna wiki ya pili hatuna maji na kila mara hii hali hujirudia rudia. Tushalifikisha mpaka kwa mwenyekiti...
1 Reactions
4 Replies
364 Views
Maeneo ya Kinzudi Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira. Walianza kwenye viwanja vilivyo...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Anonymous
TANESCO walikanusha suala la makato kuongezeka kutoka elfu 1500 kwenda elfu 2000 ila ukweli Changamoto Imekuwa kubwa mno, mimi nimekatwa elfu 6000 nimenunua umeme wa 10500 nimekatwa deni elfu sita...
1 Reactions
4 Replies
406 Views
Nashangazwa sana na utendaji wa Tanesco, nilikuwa nakaa Dodoma umeme ulikuwa haukatiki ovyo ila maisha ya kule ni gharama sana nikamua nihamie Vikindu Vianzi kupata unafuu wa maisha na...
0 Reactions
6 Replies
266 Views
Anonymous
Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu! Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa...
1 Reactions
6 Replies
878 Views
Anonymous
Viongozi wilaya ya Siha fuatilieni wananchi wanateseka toka tarehe 26/06/2024 magari ya abiria aina ya Noah na Hiece (daladala) wamepandisha nauli kiholela, ambapo kutoka Boman' ombe mpaka Sanya...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Anonymous
Mtaa wa Tegeta kwa Ndevu stendi barabara ya kuelekea machinjioni kuna bomba la DAWASA limepasuka tangu mwaka jana, bomba hilo linamwaga maji na kuhatarisha afya usalama hewa wa biashara ======...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
Nimesindikiza mgeni hivi karibuni akielekea Ughaibuni. Kabla sijampeleka airport nilifanya kupima begi lake uzito ili kuhakiki isitokee kupunguza mizigo panga pangua na begi lilikua na KG30...
1 Reactions
5 Replies
234 Views
Hivi jamani, sisi wabongo watu wa ajabu sana? hivi ni kwa kuwa hatuelewi majukumu yetu?hivi ni kwa sababu sisi ni wavivu, hivi sisi hatujui kwa nini tumeshika ofisi zetu.hatujui wajibu wetu? Hivi...
2 Reactions
12 Replies
381 Views
Nimepiga simu Tanesco, wamesema mita yangu ilikuwa inadaiwa 18,000 kwa mwaka wa fedha ulioisha(2023/24) hivyo wamekata pesa hiyo niliponunua umeme leo. Nikawauliza mbona wamekuwa wakinikata kila...
1 Reactions
7 Replies
481 Views
Anonymous
Nikiwa kama mjasiriamali nimejikuta nipo kwe uhitaji wa mkopo kutoka Benki ambayo ninaitumia kwa ajili ya kufanya miamala yangu ya kibiashara na hata kuhifadhi fedha kwa muda mrefu. Isivyo bahati...
2 Reactions
4 Replies
396 Views
Unasababaisha mchafuko wa hali ya hewa ambao pia ni usumbufu, kero na kichefuchefu kwa wengine.. Sio kwasababu ya uchafu wa viatu vyako, uchafu wa miguu au soksi, inaweza kuwa ni tatizo la asili...
11 Reactions
56 Replies
868 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000...
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa Mbezi Beach kwa Komba mtaa wa Alesika Road jirani na Ofisi za Airtel tunateseka kwa kulazimika kukesha pamoja na waumini wa kanisa la Angels Ministry ambao wapo kushoto kwetu na...
1 Reactions
5 Replies
804 Views
Maliasili wako tayari kudhulumu uhai wa mtu kisa Mkaa, Mamlaka zichukue hatua stahiki kinachoendelea Tabora sio haki, sio utaratibu. Mtu yupo Main Road kabeba gunia moja la mkaa na magunia mengine...
1 Reactions
5 Replies
315 Views
Wakuu kwema, Maji yamekuwa yakitoka machafu kwa muda sasa, sasa hivi hali inazidi kuwa mbaya, maji ni machafu sana mpaka yanatia mashaka kwenye usalama wake, mbali na kuwa machafu kama hivi yana...
0 Reactions
8 Replies
825 Views
Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa na wa wazi wazi wa maelekezo yenu juu ya bei elekezi za nauli katika njia hizo. Watoa huduma wanatoza bei wanazotaka wao na kuwabighudhi abiria wanaotaka kulipa nauli...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Anonymous
Wadau, Mwanza ni Jiji kubwa kwa wingi wa watu na rasmilimali lakini linakubwa na tatizo sugu na kubwa la mgao wa maji ambao haueleweki. Mfano: Nyegezi maji kwa wiki baadhi ya mitaa wanapata...
2 Reactions
12 Replies
583 Views
Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Anonymous
Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina...
0 Reactions
7 Replies
765 Views
Back
Top Bottom