Leo hii nimeamua, kushika kalamu kuandika hili kwamba wafanyabiashara wadogowadogo waliopo Mbezi wanapata kadhia sana kwenye kufanya shughuli zao za kila siku, ila wenye taabu kubwa ni...
Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka...
Kwanini wafanyabiashara wa stendi ya Magufuli Mbezi wameachiwa kufanya biashara zao kwa kuzurura ndani ya stendi na kupanga biashara kila mahali wakati kuna majengo ya kufanyia biashara? Kuna...
Dar ndo jiji kubwa Tanzania ukifanya research utagundua availability ya maji Dar Ina range 60%--70% mfano Ubungo na Kimara maji yanatoka mara mbili Kwa wiki tena Kwa mda mchache yanakata mwezi...
Medical Council of Tanganyika (MCT) wamekuwa hawatoi msaada unaoitajika kwa madaktari especially swala la leseni kwamba ukishalipia ni aidha uifate Dodoma ama usubirie kwa muda wao wanaoutaka wao...
Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine...
Serikali imeshindwa kulinda na kufuata Sheria na kanuni zake kama zinavyotaka...
Mfano, kuna Baraza la taifa la usimamizi na uhifadhi mazingira kazi yake kubwa kulinda na kusimamia Sheria ya...
Baadhi ya wafanyabiashara Morogoro tunadai hela TEMESA za kuwasambazia bidhaa kwaajili ya magari yao toka 2022 mpaka Leo hawajatulipa, tumeshatuma barua za kuulizia kwanini wanachelewa lakini...
Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi.
Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio...
Wakuu salama?
Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na...
Tembo wamekuwa changamoto kubwa sana kwa Wilaya hiyo kuhatarisha maisha ya watu.
Hivi sasa ni takibani mwaka wa tatu, tembo wamekuwa changamoto kwao wakisababisha upotevu wa maisha kwa watu kila...
Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili...
Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua...
Tabia hiyo inatajwa kuwa endelevu kwa vyama hivyo kutolipa kwa wakati pesa za wauza mazao hao. Minada inapigwa kila wiki ndani ya wilaya hiyo lakini malipo ya pesa katika mnada husika hazilipwi...
Hakuna chuo ambacho walimu ni Mungu watu kama Tabora Polytechnic college kuna madudu mengi yanafanyika hapa hasa kwenye ngazi ya Famasi Diploma mfano kuna mwalimu style yake aisee hapana inabidi...
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli...
Uongozi wa Dodoma Jiji unadai eneo hilo tunaloishi wakazi wa Kata ya Ipala Jijini Dodoma ni mali ya Serikali, wanataka kutuhamisha kwa njia ambayo tunaona siyo sahihi.
Wakati wakitaka kutuhamisha...
Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe?
Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa!
Muda wote mlikuwa wapi...
DIWANI KATA BAKOBA ANALAZIMISHA KUBADILISHA MATUMIZI YA FEDHA UJENZI WA SOKO LA DAGAA.
Diwani wa kata ya Bakoba Manispaa ya Bukoba Ndg, Shaban analazimisha kuhamishwa kwa fedha Tsh Mil 28...
Sisi Wakazi wa Kibamba, Mtaa wa Matembezi tuna kero, hadi kufikia jana Juni 10, 2024 ilikuwa ni zaidi ya Saa 24 zimepita tangu tulipowekewa vifusi barabarani bila kusambazwa.
Suala hilo limekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.