Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya Shilingi 500 kupanda kivuko, lakini kuna Shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry. Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Anonymous
Pale Ubungo flyover kuna wababa na wamama watu wazima wanachezesha mchezo wa pata-potea. Wanawashawishi wapita njia, wageni na watoto wasiojua huo mchezo na kuwaibia. Hii imekua kero sana, naomba...
1 Reactions
7 Replies
417 Views
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
3 Reactions
99 Replies
5K Views
Anonymous
Kumekuwa na kero kubwa katika mitaa ya Ubungo NHC, halmashauri imeshindwa kuleta gari la taka kwa wakati Leo ni siku ya 5 taka zipo na hakuna juhudi zozote na maeneo taka yalipo ni karibu na...
1 Reactions
2 Replies
224 Views
Habari, Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter, Mwanafunzi wa Mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) nasomea Historia na sayansi ya siasa, namba yangu ya usajili 2021-04-01016 Siku za karibuni...
23 Reactions
85 Replies
6K Views
Serikali imuhimize mkandarasi anayesimamia ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa ikamilike kwa wakati ili kuepusha usumbufu wa muda mrefu kwa wananchi wanaotumia barabara hiyo muhimu kwa maendeleo yao.
1 Reactions
0 Replies
179 Views
Anonymous
Hali ilivyo barabara ya Tambani Mkuranga inayopita Mbande (Temeke) kwenda Kitonga(Ilala) tangu mwezi wa 1 haina marekebisho wala haipitiki na imekatika kabisa. TARURA Mkuranga na Mkurugenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Anonymous
Kuna utaratibu wa TANROADS kuruhusu ujenzi wa majengo kwenye hifadhi ya barabara. Kuna ujenzi pia unaendelea kwenye hifadhi ya barabara za TARURA. Wanachofanya nikuweka Katazo kwa lengo la wewe...
1 Reactions
1 Replies
406 Views
Anonymous
Hivi mamlaka husika zilikwenda likizo au ilikuwa ni agizo la muda mfupi au tuseme hawa Kisuma 5G wapo juu ya sheria? Hii Bar imekuwa kero kwa wananchi wanaoishi jirani kwani kelele za mziki...
2 Reactions
10 Replies
786 Views
Anonymous
Katika maeneo ya CCM hata mpiji mwisho hatuna Maji ya dawasco. Mwaka jana alikuja Mpiji Magoe mbunge wetu wa Kibamba akatupa taarifa kuwa mradi wa maji unakuja na akajinadi ni jihada zake...
0 Reactions
4 Replies
349 Views
Anonymous
Barabara ya kutoka Mbezi (Kwa Yusufu) kwenda Mpiji Magoe hadi Bunju imekuwa kama sehemu ya kitega uchumi. Ipo chini ya TANROADS na serikali ya Magufuli iliweka bajeti ijengwe lakini bajeti...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Arusha ni jiji muhimu sana kiuchumi ukizingatia kuwa linaongoza kwa kupokea wageni hasa watalii. Askari hawa wa usalama wanasababisha kero nyingi kama ifuatavyo; 1. Wamejazwa kila barabara ya...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Anonymous
Habari zenu mabibi na mabwana, Naiomba serikali kupitia vitengo vyake vya kusimamia majengo nchini kulifungia haraka sana hilo jengo linahatarisha maisha ya mwanaadamu. Jengo la ghorofa 8 ni...
1 Reactions
4 Replies
404 Views
TANESCO hivi kiangazi ndo kimeanza hata wiki haijapita mmeanza kukata umeme na kusingizia kina cha maji. Tafadhali sana mnatupa hasara, biashara haziendi tuna mikopo ya benki, nyie mpo ofsini...
2 Reactions
13 Replies
394 Views
Anonymous
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki. Maji yanapita barabarani, yaani...
3 Reactions
11 Replies
540 Views
Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa...
19 Reactions
84 Replies
6K Views
Anonymous
Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha. Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi ...
1 Reactions
21 Replies
792 Views
Anonymous
Habari mimi ni mdau, changamoto yangu kubwa ni kuwa namba nyingi za simu za mashirika ya umma hazipatikani na zingine ukipiga zinakuwa hazipo... Pamoja na changamoto hiyo, bado mashirika...
0 Reactions
8 Replies
568 Views
Back
Top Bottom