Habari wakuu
Tangu kuanza kwa mfumo wa utumishi portal,ambao umekua na lengo kuu la kupunguza paper work na kupunguza urasimu katika shughuli mbalimbali ikiwepo uhamisho wa watumishi.
Pamoja na...
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni.
Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji.
Tusaidie
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga...
Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto)...
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana.
Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali...
Mji wa Same ni mdogo sana ila inashangaza ndani ya wiki tatu zilizopita zimeibiwa TV nyingi sana, je, zinakwenda wapi? Au zinauzwa wapi?
Maeneo ya Sterling na Stesheni kwa mfano zimeibiwa TV nne...
Soko ni sehemu inayotakiwa kutunzwa na kuheshimiwa sana, ni sehemu ya kibiashara na hasa sehemu tunapopata mahitaji yetu ya chakula kwa tulio wengi.
Kwa mji mdogo wa Marangu kuwa na soko lenye...
Hivi kuna haja gani ya kumlamisha mteja kupata huduma ambayo hana haja nayo?. Mtu anahitaji kuunga kifurushi cha data yaani internet bundle, lakini anapewa dakika ama na sms bundle.
Sasa...
Wakazi wa Magomeni Mtambani tupo hatarini kwa magonjwa ya mlipuko, magari ya kubeba takataka yanakaa mpaka mwezi bila kuchukua takataka na takataka kuzagaa mitaani.
Pia soma
- DOKEZO - Magomeni...
Hii imetokea Kijiji Cha DIDIA wilaya ya SHINYANGA DC ambapo ni SIKU ya Tano tangu ilipotokea dharura ya kugongwa na gari nyaya za umeme zinazokatisha barabarani.
Kutokana na CHANGAMOTO hiyo tangu...
Kuna daladala huwa zinazingua sana. Yaani unaenda mahali lakini hawakufikishi kama inavyopaswa. Kwa mfano, unaweza kuwa unaenda mahali, lakini wakiona mmebaki watu watano ndani ya gari wanageukia...
Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=.
Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi...
Kuna watumishi wapatao 43 ambao wameajiriwa kwa mkataba Halmashauri ya Liwale kupitia mdau Medicines San Frontiers (MSF) au Madaktari wasio na mipaka miongoni mwao ni Madaktari, wauguzi na...
Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili.
Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na...
Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya...
Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani.
Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa...
Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4.
Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi...
Salaam,
Kuna kero kubwa sana kwa shirika la umeme Zanzibar (Zeco) maeneo ya shamba hasa Nungwi, Paje, Jambiani, Kendwa nk umeme ni mdogo sana baadhi ya maeneo kiasi kwamba ni kama tunaishi zama...
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.